Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Sio hawataki sema shule zimedungwa kwa sababu maalumHiyo basic anaitoa wapi huyo mwenye shule? Wazazi hawataki kulipa ada!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hawataki sema shule zimedungwa kwa sababu maalumHiyo basic anaitoa wapi huyo mwenye shule? Wazazi hawataki kulipa ada!
Soma hiyoooooTatizo lenu mkipata kazi hamsomi mikataba yenu ya kazi vizur mnaishia tu kukimbilia kuisign
Kipengele cha force majeure kinasemaje kwemye mkataba wako wa kazi??
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa Mkuu lkn kuna option km 3 kulipa yote, au kulipa kwa awamu 3 lkn Julai nusu ya mwaka wa malipo hayo uwe umemaliza Ada yote, yaani Jamuary, April na Julai
Mkuu wewe acha tu, kuna Sheria inapitishwa chini ya Wizara ya Ardhi (nimemsikia Naibu Waziri Mama Mabula) kuwa wenye nyumba wasitoze zaidi ya mwezi mmoja na hakuna tangulizi ya Kodi, iwe km mishahara maofisini, mpangaji akae kwanza ndipo alipe.Nikakopa mkopo wa maana , wanaa wakanishawishi nifungue biashara nikawagomea nikawekeza kwenye nyumba za kupanga mammbo si haba nagonga tu tararibuu kodi za wanna na biashara zao zimebuma halafu utasikia jamaa moja anasema wenye nyumba wawasaheme kodi wapangaji wao hadi korona iishee ...pyuu unajua bank na katwa riba ngapi ? Coronaa hiiiiii ni hatariii
Ni balaa...isipokutafuna kwa mbele itakukula kwa nyuma!Aisee hii corona!
Kwa Sheria ipi? Anapaswa kupewa addendum ya kupunguziwa mshahara ( eg. 50%) kwa miezi miwili. Hali Kama bado atapewa likizo bila malipo. Namshauri mtoa mada atafute mwanasheria ampeleke mwajiri wake CMA Mara moja..Unapaswa kulipwa basic salary kwa kipindi chote utakacho kuwa likizo
Jr[emoji769]