mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Hata maana yake anaijua kweliTatizo lenu mkipata kazi hamsomi mikataba yenu ya kazi vizur mnaishia tu kukimbilia kuisign
Kipengele cha force majeure kinasemaje kwemye mkataba wako wa kazi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni hatari sana kwa kweli.Huwa nawaza mwanaume ambae ni bread winner wa familia ikitokea anasimamishwa kazi,kufukuzwa au kama hivi likizo bila malipo huku hana njia nyingine ya kumuingizia kipato, na haya maisha yetu ukute hata akiba hana[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Sijuuui tu yaani, pole sana mkuu.
Ila hizi shule haziwatendei haki, kipindi chote mmewatengenezea faida ila wanaact kama hili janga mmelisababisha nyie!!! Thats not fair.
Pambana na hali yako broKutokana na hill janga la korona nimepewa likizo ya bila malipo. Mimi ni mwalimu katika shule moja private, likizo hii tumepewa wafanyakazi wote.
Ninapitia wakati mgumu sana ninapenda kuwashauri vijana ambao bado hamjaoa nivema mkaoa wadada wafanyakazi pia jaribu kuwa na biashara pembeni.
Wanajamii ninaomba msaada kama tunawezachukua hatua za kisheria kwa hili sababu hatukupewa hata nauli ama tupambane na halo zetu
Mkuu sidhani Mimi niko huku kwenye nchi ambazo corona wanashambulia sana nafanya kazi kampuni moja ya kimataifa mwezi hatuingii kazini sasa lakini kila kitu tunalipwa Kama kawaida. Huo ni uonevu
Shule inategemea ada kama mapatoKama ni kweli sheria ya kazi haisemi hivyo.
Kama aliajiriwa permanent basi process inasema wanaenda kwenye retrechment.Shule inategemea ada kama mapato
Sasa watalipwaje kama kuna dharura na shule zimefungwa kwa muda usiojulikana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tutakuwa tunawapa kiburi wamiliki wa hizi shule. Kwa kawaida wazazi hulipa ada kuanzia nusu muhula (miezi sita) inamaana mpaka sasa ada iliyolipwa kwa muhula huu lazima iwe ndani ya bajeti. Labda kama mishahara itaanza kusuasua mwezi july hapo ndipo kidogo waajiri watahalalisha umafia wao na ukatili kwa wafanyakazi wao. Kinachowapa jeuri ni kuwa wafanyakazi watanyenyekea ili shule zikifunguliwa wasifukuzwe kazi.Hiyo basic anaitoa wapi huyo mwenye shule? Wazazi hawataki kulipa ada!
Msaidie kimawazo huu siyo wakati wa kumtupia lawama hazitamsaidia.Tatizo lenu mkipata kazi hamsomi mikataba yenu ya kazi vizur mnaishia tu kukimbilia kuisign
Kipengele cha force majeure kinasemaje kwemye mkataba wako wa kazi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuwa na more than one option ni jambo jema mno,tena hizo option ziwe category mbali mbaliPole mkuu..
Ndio maana kichwa changu huwa kinaniambia "we kobe hakikisha unakuwa na jiwe la pembeni!"
Kumbe kichwa changu kipo sahihi..
Ktk maisha ni lazima tuwe na option zaidi ya moja ili kujiongezea usalama zaidi.
Huwa nawaza mwanaume ambae ni bread winner wa familia ikitokea anasimamishwa kazi,kufukuzwa au kama hivi likizo bila malipo huku hana njia nyingine ya kumuingizia kipato, na haya maisha yetu ukute hata akiba hana[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Sijuuui tu yaani, pole sana mkuu.
Tatizo lenu mkipata kazi hamsomi mikataba yenu ya kazi vizur mnaishia tu kukimbilia kuisign
Kipengele cha force majeure kinasemaje kwemye mkataba wako wa kazi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hapo wote mnakuwa stressed eeh!! Kumbuka mke ni mama wa nyumbani. Sasa issue inakuwa nani yuko tayari kuchukulia stress za mwenzie ili hali nawe una stress. Shida inaanzia hapo. Hapo ni kuomba hekima ya kimbingu tu iwasaidie mvuke salama.Bread winner akikwama ni muda wa mke kuonesha umuhimu wake, kwa heshima lakini sio masimango na kuuza mechi.... ndo muda huo utajua kama una mke au kimeo.
Wazazi tunalipa ada kila miezi 3Hapa tutakuwa tunawapa kiburi wamiliki wa hizi shule. Kwa kawaida wazazi hulipa ada kuanzia nusu muhula (miezi sita) inamaana mpaka sasa ada iliyolipwa kwa muhula huu lazima iwe ndani ya bajeti. Labda kama mishahara itaanza kusuasua mwezi july hapo ndipo kidogo waajiri watahalalisha umafia wao na ukatili kwa wafanyakazi wao. Kinachowapa jeuri ni kuwa wafanyakazi watanyenyekea ili shule zikifunguliwa wasifukuzwe kazi.
Upo sahihi mkuu plan B muhimuPole mkuu..
Ndio maana kichwa changu huwa kinaniambia "we kobe hakikisha unakuwa na jiwe la pembeni!"
Kumbe kichwa changu kipo sahihi..
Ktk maisha ni lazima tuwe na option zaidi ya moja ili kujiongezea usalama zaidi.