Nimepewa maono, Sheikh Mwaipopo unafuata kama ilivyokuwa kwa Sheikh Majini

Nimepewa maono, Sheikh Mwaipopo unafuata kama ilivyokuwa kwa Sheikh Majini

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!.

Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi.

Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA WEWE !!.

Pia soma
 
Kama mnaweza kumshughulikia. Man up deal with him effectively. Acheni story za abunuasi, eti nimeota ndoto.
 
Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!.

Sheikh Mwaipopo , Mungu kanipa Maono, ilikua usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi.

Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA WEWE !!.
Hatokamatwa wala kupelekwa mahakamani milele.
 
Anaongea kama Amekatwa kichwa.
Yule jama ni Mpumbavu wa kiwango cha Juu.

Hapo akiona huu unabii atatamani akutumie Majini anayo yafuga.................

Anawadhalilisha wazee wangu wa Makobazi
 
Serikali itashangaza sana Mwaipopo asiposhitakiwa kwa uhaini. Kajisema mwenyewe kabisa kuwa anamiliki kikundi cha kigaidi kwa jina la Mbwa Mwitu
 
Haya anayofanya Mwaipopo ndio anayofanya Gwajima kanisani kwake mbona Gwajima akamatwi? Mwaipopo aachwe hakuna asiejua michezo michafu tarehe 7 wacha kiwake Serikali isiingilie tupasuane wenyewe kwa wenyewe kwanza kati ya wapenda vurugu na wapenda amani.
 
Lini Gwajima ametishia kuchinja watu na kuwatahiri bila ganzi? Gwajima alikemea utekaji unaofanywa na serikali dhalimu ya CCM Kanisa lake likafunga na waumini wakapigwa mabomu na polisi wa Samia.
 
Haya anayofanya Mwaipopo ndio anayofanya Gwajima kanisani kwake mbona Gwajima akamatwi? Mwaipopo aachwe hakuna asiejua michezo michafu tarehe 7 wacha kiwake Serikali isiingilie tupasuane wenyewe kwa wenyewe kwanza kati ya wapenda vurugu na wapenda amani.
Muislam asiye na Cha kupoteza,Poor you!
 
Mwaipopo yupo sawa sana. Kuna watu kwa kuwa wanapata posho kwa uvunjifu wa amani basi wanaona mwaipopo amekengeuka.

Mwaipopo ndio mzalendo wa kweli na hao wanaosema achukuliwe hatua basi ni wapuuzi na wana double standards kwa sababu hata heche kila siku ana hamasisha vurugu lkin hakuna mbwa anaekemea ila likitokea la kutokea mnampaka matope rais kwa kuwa tu ni mzanzibar na nyie wajinga hamumtaki

Piga hapo hapo mwaipopo
 
Back
Top Bottom