Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Hatokamatwa wala kupelekwa mahakamani milele.Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!.
Sheikh Mwaipopo , Mungu kanipa Maono, ilikua usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi.
Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA WEWE !!.
Usiseme 'milele', sema katika 'utawala huu haramu' wanaomtuma kuchochea migawanyiko ya kidini.Hatokamatwa wala kupelekwa mahakamani milele.
Ukimpuuza chizi kuna siku atakukata kichwaSheikh ubwabwa Mwaipopo ni chizi apuuzwe tu
Lini Gwajima ametishia kuchinja watu na kuwatahiri bila ganzi? Gwajima alikemea utekaji unaofanywa na serikali dhalimu ya CCM Kanisa lake likafunga na waumini wakapigwa mabomu na polisi wa Samia.Haya anayofanya Mwaipopo ndio anayofanya Gwajima kanisani kwake mbona Gwajima akamatwi? Mwaipopo aachwe hakuna asiejua michezo michafu tarehe 7 wacha kiwake Serikali isiingilie tupasuane wenyewe kwa wenyewe kwanza kati ya wapenda vurugu na wapenda amani.
Muislam asiye na Cha kupoteza,Poor you!Haya anayofanya Mwaipopo ndio anayofanya Gwajima kanisani kwake mbona Gwajima akamatwi? Mwaipopo aachwe hakuna asiejua michezo michafu tarehe 7 wacha kiwake Serikali isiingilie tupasuane wenyewe kwa wenyewe kwanza kati ya wapenda vurugu na wapenda amani.
Anaongea kama Amekatwa kichwa.
Yule jama ni Mpumbavu wa kiwango ja Juu.
Hapo akiona huu unabii atatamani akutumie Majini anayo yafuga.................
Makobazi
Sheikh ubwabwa Mwaipopo ni chizi apuuzwe tu
Watu wanafikiri anajiamulia tu.hakunaga bahati mbaya kwenye ishu za usalama wa nchi..