Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakimbiaaaa anahisii wenzakeKaka eneo lako liko wapi?
Shida mtaan tunaishi na watu ambao hawana malengo na Maisha yao zaidi ya kuona biashara zao kama dream come true wakati kwa wengine hizo ni stepping stone ili waweze kuzifikia ndoto zao kubwa zaidi ya hapo walipo.Naungana na wewe mfano sisi tunauza soda tunapata faida sh 600/kwa kreti, na wakati huo unanunua kampuni ya pepsi inakuchagulia brand wanayoitaka wao sio wewe unayoitaka, faida yote unajikuta inabaki kwenye brand isiyotoka
Wafanyabiashara katika eneo husika tulikubaliana tupandishe bei lakin mmoja aligoma akawa anauza bei elekezi ya kampuni
Sisi pia tukaamua kushusha bei
Inaumiza faida ni ndogo tunaishia kuinufaisha kampuni, sidhani kama kuna mfanya biashara aliyetajirika kwa kuuza soda za chupa bila kuabuse bei, risk ni kubwa chupa zinavunjika.
Ukiwatetea wakulima unamaanisha wapandishe bei ya mazao ifike wapi mkuu?
MKuu jitahidi kuelewa Content nzima sisi tunalaani suala la price distortion sekta zote na kada zote mathalani sekta fulani watu wawe wanalaani unyonyaji kama mishahara pungufu wanadai maboresho halafu wanatokea makina fulani wanasaini mikataba kwa kiwango cha mshahara kile kile.Kwani ya nguruwe mnalilia ifike wapi?
Ni kweli wao wakipata hela ya kula washalidhika nilichojifunza uwezi kumpandisha mtu ambae ataki kupandaShida mtaan tunaishi na watu ambao hawana malengo na Maisha yao zaidi ya kuona biashara zao kama dream come true wakati kwa wengine hizo ni stepping stone ili waweze kuzifikia ndoto zao kubwa zaidi ya hapo walipo.