Nimepewa penzi na mke wa mtu ila sina amani

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,033
Reaction score
3,720
Kama binti ambae ni mtulivu anavaa kwa staha na baibui masaa 24, binti mzuri chotara na ana mume mwenye pesa kanipa penzi

Nimemuangalia kwanza mke wangu najua hata yeye hayupo salama nimekosa amani na nimeapa sitoshika simu ya mwanamke hakuna aliye salama cha muhim mwanamke wangu akiniheshimu na kutimiza wajibu wake basi sina mda wa kumfuatilia kumfuatilia mwnamke kwa sasa utapata heart attack
 
Ahsante kwa muongozo baharia.
 
Hii dhambi utailipia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…