Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Veve ore warea woghembeya vijaa naa!Ebu ngoja nikae sawa nione wanachama wana maoni gani kuhusu hizi tetesi za mwanachama mwenzetu
Naomba namba yake PM nimtonye fastaIli uweze kumsaidia huyo rafiki yako jaribu kwanza kuivaa nafsi yake. Fikiria ungekuwa ndio ww umetendewa hivo na unaendelea kusalitiwa.
Mwanzo nilihisi labda anataka tuanzishe mahusiano nikataka kumpa namba ya uongo anyway kwa sababu mimi ni mwanaume nikasema ngoja nimpe ya ukweli.
Siku ya pili tangu nichukue ile namba nikapokea namba mpya kumbe ni ya yule....
kwanza tafuta maana halisi ya neno rafiki,Habari zenu wazee wa mmu,
Nina mfanyakazi mwenzangu ambae pia ni best yangu sana kwa kuwa hata mipango ya maisha huwa tunapeana mbinu mbili tatu ili tuweze kuzidi kunyanyuka kimaendeleo.
Mimi nimeoa na yeye ameoa sasa huyu jamaa yangu ni type fulani ya watu wapole kupita kiasi.
Hapa karibuni mke wake kamfukuza dada wa kazi na mtoto na wana mtoto wa miezi 10 hivi kama sikosei,mke wake nae ni muajiriwa sector nyingine tofauti na yetu, sasa huyu jamaa yangu huwa nampitia kumchukua na tunaenda kazini kwa sababu gari yake imepata ajali haiwezi tembea. Imekuwa kama ratiba ya kawaida mimi kumpitia pale nyumbani kwake kwa kuwa ni njiani kuelekea kazini
Sasa siku moja nimepack kwa nje namsubiria jamaa akatokea dada mmoja na kunisalimia nikiwa ndani ya gari akaniomba nimpe namba yangu kuna ishu sensitive anataka kuniambia. Mwanzo nilihisi labda anataka tuanzishe mahusiano nikataka kumpa namba ya uongo anyway kwa sababu mimi ni mwanaume nikasema ngoja nimpe ya ukweli.
Siku ya pili tangu nichukue ile namba nikapokea namba mpya kumbe ni ya yule mdada akaanza kuniomba msamaha kuwa hajapenda kunihusisha mambo ambayo hayanihusu,nikamuuliza mambo yapi?
Akaanza kuniambia rafiki yako unampitiaga kila siku kuna mchezo anachezewa, kuuliza upi akasema "Kaka nyie mkiondoka mke wake huwa anampeleka nyumba ya jirani mtoto kwa mmama fulani ambae huyo mama ana kijana yake ambae huku mtaani tunajua anatembea na mke wa rafiki yako na mtoto ni wa huyo jamaa so pale kwa yule mama kuna kila aina ya vikolo kolo vya kuchezea mtoto vimenunuliwa na yule kijana wa yule mtoto na yule mama
Kwa kujiongeza nikasema isije huyu dada alikuwa na mahusiano na jamaa yangu hivyo kaachwa sasa anataka kusambaratisha ndoa ya huyu rafiki yangu ikabidi nianze kuchunguza ndipo nikapata jina la yule kijana wa yule mama na kulisearch fb nikaziona picha zake na kuanza kuzifananisha na picha za yule mtoto wa rafiki yangu ki ukweli kama kuna ufanano fulani kati ya yule mtoto na yule kijana.
Sasa kila nikimpitia jamaa huwa namuangalia usoni natamani kumuambia ila sina kithibitisho ya yale niliyoambiwa na yule dada najikuta naumia mimi kwa sababu jamaa huwa ananieleza plan nzuri kuhusiana na familia yake haswa maendeleo ya kuwalinda watoto wasije fedheheka huko mbeleni.
Imefika muda nikimuona mke wa jamaa natamani nimpasukie ila ushahidi sina hebu wana mmu tushauriane. Je, hapa ni-mute au nitapike tu?
Kwanza tafuta maana halisi ya neno Rafiki,kisha angalia nguvu na udhaifu wa urafiki wenu,naamini utapata jibu nini ufanye. Ila naamini rafiki wa kweli hawezi kukaa kimya kwa jambo kubwa kama hilo lazima atafikisha taarifa kwa mhusika tu.Habari zenu wazee wa mmu,
Nina mfanyakazi mwenzangu ambae pia ni best yangu sana kwa kuwa hata mipango ya maisha huwa tunapeana mbinu mbili tatu ili tuweze kuzidi kunyanyuka kimaendeleo.
Mimi nimeoa na yeye ameoa sasa huyu jamaa yangu ni type fulani ya watu wapole kupita kiasi.
Hapa karibuni mke wake kamfukuza dada wa kazi na mtoto na wana mtoto wa miezi 10 hivi kama sikosei,mke wake nae ni muajiriwa sector nyingine tofauti na yetu, sasa huyu jamaa yangu huwa nampitia kumchukua na tunaenda kazini kwa sababu gari yake imepata ajali haiwezi tembea. Imekuwa kama ratiba ya kawaida mimi kumpitia pale nyumbani kwake kwa kuwa ni njiani kuelekea kazini
Sasa siku moja nimepack kwa nje namsubiria jamaa akatokea dada mmoja na kunisalimia nikiwa ndani ya gari akaniomba nimpe namba yangu kuna ishu sensitive anataka kuniambia. Mwanzo nilihisi labda anataka tuanzishe mahusiano nikataka kumpa namba ya uongo anyway kwa sababu mimi ni mwanaume nikasema ngoja nimpe ya ukweli.
Siku ya pili tangu nichukue ile namba nikapokea namba mpya kumbe ni ya yule mdada akaanza kuniomba msamaha kuwa hajapenda kunihusisha mambo ambayo hayanihusu,nikamuuliza mambo yapi?
Akaanza kuniambia rafiki yako unampitiaga kila siku kuna mchezo anachezewa, kuuliza upi akasema "Kaka nyie mkiondoka mke wake huwa anampeleka nyumba ya jirani mtoto kwa mmama fulani ambae huyo mama ana kijana yake ambae huku mtaani tunajua anatembea na mke wa rafiki yako na mtoto ni wa huyo jamaa so pale kwa yule mama kuna kila aina ya vikolo kolo vya kuchezea mtoto vimenunuliwa na yule kijana wa yule mtoto na yule mama
Kwa kujiongeza nikasema isije huyu dada alikuwa na mahusiano na jamaa yangu hivyo kaachwa sasa anataka kusambaratisha ndoa ya huyu rafiki yangu ikabidi nianze kuchunguza ndipo nikapata jina la yule kijana wa yule mama na kulisearch fb nikaziona picha zake na kuanza kuzifananisha na picha za yule mtoto wa rafiki yangu ki ukweli kama kuna ufanano fulani kati ya yule mtoto na yule kijana.
Sasa kila nikimpitia jamaa huwa namuangalia usoni natamani kumuambia ila sina kithibitisho ya yale niliyoambiwa na yule dada najikuta naumia mimi kwa sababu jamaa huwa ananieleza plan nzuri kuhusiana na familia yake haswa maendeleo ya kuwalinda watoto wasije fedheheka huko mbeleni.
Imefika muda nikimuona mke wa jamaa natamani nimpasukie ila ushahidi sina hebu wana mmu tushauriane. Je, hapa ni-mute au nitapike tu?
Aisee! Lazi unayo. Ushauri wangu ni kama ifuatavyo; kama jamaa ni rafiki yako kweli basi mshitue.Habari zenu wazee wa mmu,

We na mmeo mnafana sana tabia kama si kuwahi siti basi kusema wanakuja kukujibu
Aiseee Mimi katika masuala ya usaliti sinaga subira kabisa Ila chamuhimu ni jamaa apewe taarifa Kwa njia ambayo haitamuumiza ili achunguze Hilo suala majiran ndio wanajua maisha yetu sisi wananchi ambao hatukai mtaani tulioacha wake zetu nyumban mana mambo ni mengi na wanawake Wana Siri Sana Ila majiran akiingia mwizi usiku wanaweza wasimuone lkn akiingia mchepuko wa mkeo au mumeo wanajua so ninachoomba hapo jamaa apewe habari hakuna cha kuharibu ndoa wala kusingiziwa hapo kitaa kuna watu wangapi mbn hawajasingiziwa kasingiziwa huyo mtu hapo.????? Hakuna kitu kibaya katika hii dunia kama kupigiwa mkeoHabari zenu wazee wa mmu,
Nina mfanyakazi mwenzangu ambae pia ni best yangu sana kwa kuwa hata mipango ya maisha huwa tunapeana mbinu mbili tatu ili tuweze kuzidi kunyanyuka kimaendeleo.
Mimi nimeoa na yeye ameoa sasa huyu jamaa yangu ni type fulani ya watu wapole kupita kiasi.
Hapa karibuni mke wake kamfukuza dada wa kazi na mtoto na wana mtoto wa miezi 10 hivi kama sikosei,mke wake nae ni muajiriwa sector nyingine tofauti na yetu, sasa huyu jamaa yangu huwa nampitia kumchukua na tunaenda kazini kwa sababu gari yake imepata ajali haiwezi tembea. Imekuwa kama ratiba ya kawaida mimi kumpitia pale nyumbani kwake kwa kuwa ni njiani kuelekea kazini
Sasa siku moja nimepack kwa nje namsubiria jamaa akatokea dada mmoja na kunisalimia nikiwa ndani ya gari akaniomba nimpe namba yangu kuna ishu sensitive anataka kuniambia. Mwanzo nilihisi labda anataka tuanzishe mahusiano nikataka kumpa namba ya uongo anyway kwa sababu mimi ni mwanaume nikasema ngoja nimpe ya ukweli.
Siku ya pili tangu nichukue ile namba nikapokea namba mpya kumbe ni ya yule mdada akaanza kuniomba msamaha kuwa hajapenda kunihusisha mambo ambayo hayanihusu,nikamuuliza mambo yapi?
Akaanza kuniambia rafiki yako unampitiaga kila siku kuna mchezo anachezewa, kuuliza upi akasema "Kaka nyie mkiondoka mke wake huwa anampeleka nyumba ya jirani mtoto kwa mmama fulani ambae huyo mama ana kijana yake ambae huku mtaani tunajua anatembea na mke wa rafiki yako na mtoto ni wa huyo jamaa so pale kwa yule mama kuna kila aina ya vikolo kolo vya kuchezea mtoto vimenunuliwa na yule kijana wa yule mtoto na yule mama
Kwa kujiongeza nikasema isije huyu dada alikuwa na mahusiano na jamaa yangu hivyo kaachwa sasa anataka kusambaratisha ndoa ya huyu rafiki yangu ikabidi nianze kuchunguza ndipo nikapata jina la yule kijana wa yule mama na kulisearch fb nikaziona picha zake na kuanza kuzifananisha na picha za yule mtoto wa rafiki yangu ki ukweli kama kuna ufanano fulani kati ya yule mtoto na yule kijana.
Sasa kila nikimpitia jamaa huwa namuangalia usoni natamani kumuambia ila sina kithibitisho ya yale niliyoambiwa na yule dada najikuta naumia mimi kwa sababu jamaa huwa ananieleza plan nzuri kuhusiana na familia yake haswa maendeleo ya kuwalinda watoto wasije fedheheka huko mbeleni.
Imefika muda nikimuona mke wa jamaa natamani nimpasukie ila ushahidi sina hebu wana mmu tushauriane. Je, hapa ni-mute au nitapike tu?
Neghimbiye sang'ida ya anyampaa afaa waaVeve ore warea woghembeya vijaa naa!