kajengwa makunduch
Senior Member
- Sep 28, 2019
- 108
- 200
Kwa hapo wewe ndio utakuwa chanzo cha hao kufarakana ukiingia kichwa kichwa ila wanawake hawa .,hawaaminiki ,hawalindiki , hawaridhiki ,dah! Ila we mwamba nyamaza kama huyajui ili mradi wanaishi kwa amani hayo mengine wachie wenyewe