Nimepewa Taarifa na washikaji zangu kijiweni kwamba kuna watu wananitafuta

Ndugu yangu km wewe siyo chawa Wa Samia na CCM na hapo kijiweni wanajua msimamo wako ni afadhali usirudi Dar na ufikirie mkoa Wa kwenda ubadilishe na jina. Watakuja na watakukamata hapo au njiani na hutojuliakana umekwenda wapi. Wana mbinu na silaha watakudhibiti tu. Kimbia haraka. Ndipo tulipofikia.
Mkuu huwa Sina tabia ya kuwakimbia "Wanawake",hao nataka wamjue UMUGHAKA ni nani,pengine wakisoma nyuzi zangu huwa wanadhani Mimi ni Mwanamke mwenzao!

NIMEAPA KUFANYA TUKIO AMBALO HATA SHETANI ATASHIKA KICHWA!

HIKI KIAPO LAZIMA KITIMIE
 
Wafanyabiashara wa Madini wa Ulanga miaka ile??

Mauaji hufanyika Kwa sababu kadhaa ikiwemo;
  • Maagizo kutoka Juu Kwa kuona treats za huyo mtu ama kikundi cha watu
  • Ugomvi wa Kibiashara hasa kuzurumiana
  • Ugomvi wa kimapenzi
  • Kulipa Kisasi
  • Kukosea target, badala ya X wakamfata Y
  • Nafasi za kiSiasa n.k
Yule aliyekuwa mchimba madini kule LINDI aliyeuliwa MTWARA naye sababu zilikuwa zipi?

Je, kuhusu yaliyowakuta hao wa ULANGA kwani nini kilitokea mpaka BAGENI kuhukumiwa kunyongwa?
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Nimepewa Taarifa na washikaji zangu hapo Dar es salaam ya kwamba kuna watu (Mwanamke 1 & Wanaume 2) wananitafuta!

Nikiwa Niko hapa Mbeya takribani miezi miwili Sasa nikiwa kwenye shughuli zangu nyingine,nilipigiwa simu na jamaa zangu wawili Kwa nyakati tofauti na wakanialifu ya kwamba kuna watu wamekuwa wakienda pale kijiweni kunitafuta na wanadai ya kwamba nimewahi kukopa pesa kwenye taasisi Yao (Jina kapuni) na nimeshindwa kulipa Deni Kwa wakati na kila wakinipigia simu sipokei na wakati mwingine nimewapigia Block!

Mbaya zaidi hao watu wananifahamu Kwa Majina yangu halisi kama ambavyo kijiweni nafahamika kwenye daftari la Umoja wa madereva bodaboda/Bajaji hapo Bunju!

Binafsi sijawahi kukopa pesa kwenye taasisi yeyote Ile hapa nchini na kwasasa sihitaji mkopo wa aina yeyote,Pili,Hakuna mtu yeyote au taasisi anayenidai pesa au kitu chochote!
Kutokana na matukio yanayoendelea hapa nchini,washikaji zangu walikuwa na mashaka na hao watu na wao wamenitaarifu ya kwamba hao watu kimionekano ni watu eidha kutoka Jeshi la Polisi au idara nyingine ya Kiusalama hapa nchini,kwasababu naarifiwa maswali ya dodoso waliyokuwa wakiulizwa siyo ya kawaida!

Hapo kijiweni Kuna jamaa alitoweka kwenye mazingira ya kutatanisha tangu mwezi wa 5 hadi Leo hii haijulikani Yuko wapi!

Juzi moja Kuna jamaa alinipigia simu huku akinichangamkia kishenzi akitaka nikamchukue maeneo ya IPTL nimpeleke Mbezi,Binafsi nikajua anaweza akawa miongoni mwa abiria wangu,kwakuwa hakujua kama sipo Dar es salaam nilimwambia "Mimi Niko mbali kidogo boss,ngoja nimshutue mshikaji wangu aje akuchukue hapo,nampatia namba yako"

Jamaa "Mimi nakutaka wewe kaka maana huwa uko makini sana barabarani"

Mimi "Sawa boss lakini Niko mbali (Sikutaka kumwambia nilipo) sidhani kama nitawahi ndiyo maana nakuomba nikuitie mtu ninaye muamini atakupeleka na utafika salama"

Jamaa "Hapana kaka,wewe kama ni pesa nitakuongezea Mimi nakutaka wewe"

Hapo ndipo nilipopata mashaka kwasababu abiria wa bodaboda tunawafahamu na siyo rahisi kihivyo,pili,Jamaa bado aliendelea kunipigia Simu japo nilimwambia nimetoka lakini hakukata tamaa!,baada ya kuona huo Usumbufu sikupokea hadi Leo.

Sasa,nafahamu mko humu na mnanisoma vizuri tu,Niwaambie mambo yafuatayo nyie Vishoka!

Mimi naitwa UMUGHAKA wengine hupenda kuniita UMUGHAKA WA BHAGHAKA

Dar es salaam narejea Mwezi Ujao,na kama kawaida Dar es salaam Sina shughuli nyingine zaidi ya Udereva wa Bodaboda!

Siku mtakapokuja kijiweni eidha ni kunikamata au Kwa jambo lolote lile baya,Njoeni kabisa mkiwa mmetubu na kuziaga familia zenu maana ni eidha mfe nyie au nife Mimi.

Narudia tena

Siku mtakapokuja kijiweni hakikisheni mmetubu na kuziaga familia zenu maana ni eidha mfe nyinyi au nife Mimi.

NATAKA NIFANYE KITUKO AMBACHO NAAMINI DUNIA NZIMA ITAGEUZA MACHO YOTE KUITAZAMA TANZANIA.

Mimi ndiye
UMUGHAKA

Kwa maelezo nying lakn yaonesha ww kunaktu umekfanya ukakmbia alaf inaonyesha aujiamn spo tu kama watu wanakutafuta hadi kweny ofc yako na ww uwajui unaofia usalama wako kwa nn usripot kwa vyombo vya usalama?
 
Hao hata wakija 20,watakaobaki hai wataandika Vitabu vya masimulizi!

Hii fursa niliingojea sana Kwa muda mrefu,hatimaye imejileta yenyewe mlangoni!

Nataka nirejeshe Heshima ya kikurya ambayo wapuuzi fulani wameanza kuichukulia poa.
Waulize wale makomando wa Mbowe walivyopigwa virungu kwenye visigino hadi wanatoa sauti ya maumivu.

Kikubwa mkuu kama nafsi yako inahisi hatari badili mahala pa kuishi kabisa... Its not worth it.
 
Yule aliyekuwa mchimba madini kule LINDI aliyeuliwa MTWARA naye sababu zilikuwa zipi?

Je, kuhusu yaliyowakuta hao wa ULANGA kwani nini kilitokea mpaka BAGENI kuhukumiwa kunyongwa?
Mkuu naweza kutojua lolote kwenye hilo, ila Kwa akili za kawaida huenda Moja wapo ya hizo sababu ikatumika kuondoa Uhai Kwa wenzetu
 
Siku watakayo jichanganya kwangu nita wafanya zaidi alicho wafanya zakaria (wacongo wa kwambia ni Masasi ya vichwa tu .)
 
we endelea na ubishi wako mwenzako nilibambikiwa kesi ya bangi sababu nilimtukana polisi aliekua anataka rushwa kwa lazima
nilienda kutambika mbuzi mmoja na kuku
yule afande alianza kutambaa kama kiwete wamefika hadi nyumbani kwangu lakini wapi nadhani alishajiua nyau yule yani alipwe kwa kodi zangu na bado alete uhuni nilipita naye moja kwa moja.
naona hii imekaa njema zaidi
ubaya ubaya
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Nimepewa Taarifa na washikaji zangu hapo Dar es salaam ya kwamba kuna watu (Mwanamke 1 & Wanaume 2) wananitafuta!

Nikiwa Niko hapa Mbeya takribani miezi miwili Sasa nikiwa kwenye shughuli zangu nyingine,nilipigiwa simu na jamaa zangu wawili Kwa nyakati tofauti na wakanialifu ya kwamba kuna watu wamekuwa wakienda pale kijiweni kunitafuta na wanadai ya kwamba nimewahi kukopa pesa kwenye taasisi Yao (Jina kapuni) na nimeshindwa kulipa Deni Kwa wakati na kila wakinipigia simu sipokei na wakati mwingine nimewapigia Block!

Mbaya zaidi hao watu wananifahamu Kwa Majina yangu halisi kama ambavyo kijiweni nafahamika kwenye daftari la Umoja wa madereva bodaboda/Bajaji hapo Bunju!

Binafsi sijawahi kukopa pesa kwenye taasisi yeyote Ile hapa nchini na kwasasa sihitaji mkopo wa aina yeyote,Pili,Hakuna mtu yeyote au taasisi anayenidai pesa au kitu chochote!
Kutokana na matukio yanayoendelea hapa nchini,washikaji zangu walikuwa na mashaka na hao watu na wao wamenitaarifu ya kwamba hao watu kimionekano ni watu eidha kutoka Jeshi la Polisi au idara nyingine ya Kiusalama hapa nchini,kwasababu naarifiwa maswali ya dodoso waliyokuwa wakiulizwa siyo ya kawaida!

Hapo kijiweni Kuna jamaa alitoweka kwenye mazingira ya kutatanisha tangu mwezi wa 5 hadi Leo hii haijulikani Yuko wapi!

Juzi moja Kuna jamaa alinipigia simu huku akinichangamkia kishenzi akitaka nikamchukue maeneo ya IPTL nimpeleke Mbezi,Binafsi nikajua anaweza akawa miongoni mwa abiria wangu,kwakuwa hakujua kama sipo Dar es salaam nilimwambia "Mimi Niko mbali kidogo boss,ngoja nimshutue mshikaji wangu aje akuchukue hapo,nampatia namba yako"

Jamaa "Mimi nakutaka wewe kaka maana huwa uko makini sana barabarani"

Mimi "Sawa boss lakini Niko mbali (Sikutaka kumwambia nilipo) sidhani kama nitawahi ndiyo maana nakuomba nikuitie mtu ninaye muamini atakupeleka na utafika salama"

Jamaa "Hapana kaka,wewe kama ni pesa nitakuongezea Mimi nakutaka wewe"

Hapo ndipo nilipopata mashaka kwasababu abiria wa bodaboda tunawafahamu na siyo rahisi kihivyo,pili,Jamaa bado aliendelea kunipigia Simu japo nilimwambia nimetoka lakini hakukata tamaa!,baada ya kuona huo Usumbufu sikupokea hadi Leo.

Sasa,nafahamu mko humu na mnanisoma vizuri tu,Niwaambie mambo yafuatayo nyie Vishoka!

Mimi naitwa UMUGHAKA wengine hupenda kuniita UMUGHAKA WA BHAGHAKA

Dar es salaam narejea Mwezi Ujao,na kama kawaida Dar es salaam Sina shughuli nyingine zaidi ya Udereva wa Bodaboda!

Siku mtakapokuja kijiweni eidha ni kunikamata au Kwa jambo lolote lile baya,Njoeni kabisa mkiwa mmetubu na kuziaga familia zenu maana ni eidha mfe nyie au nife Mimi.

Narudia tena

Siku mtakapokuja kijiweni hakikisheni mmetubu na kuziaga familia zenu maana ni eidha mfe nyinyi au nife Mimi.

NATAKA NIFANYE KITUKO AMBACHO NAAMINI DUNIA NZIMA ITAGEUZA MACHO YOTE KUITAZAMA TANZANIA.

Mimi ndiye
UMUGHAKA
Kumbuka hao Watu ambao wanatuhhmumiwa Sana na matukio hayo Wana Mawakala wao wengi sana humu mtandaoni, JF ni OSINT kwao kwa kupata taarifa wazitakazo.
Take care!
 
Mkuu kweli hili tupo pamoja.
Pasua mbupu ya mmoja wapo nyonya yale maji ya ndani ya mbupu.
Wangese sana hao makima.
 
Back
Top Bottom