Nimepewa unabii: Kutakuwa na vifo vya wanafamilia wa Utawala huu

Sasa ndugu nabii mwana wa Tito mbona umeoteshwa na wakati tayari Kuna kifo kimetokea hapo cha sukari ya SSH inakuaje?
Noma kinoma
Screenshot_20260907_130807.jpg
 
Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
Umekopi na kupest namibii wangu?
 
Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
We mpumbavu kwa kuwa mume wa Rais amefariki unatafutia kiki? Jinga kabisa Mungu gani aongee na mpuuzi km wewe
 
Matapeli mmeshaanza , hakuna unabii wa kifo kwa sababu kila mtu atakufa ..Waambie wapumbavu wenzio sijui manabii kwamba hakuna unabii wa vifo.
 
Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
Hiyo ndoto ingekuwa na maana kama ingekuwa umeileta tangu juzi. Sasa wewe usikie Makamu wa Rais ametangaza ndiyo ujitokeze? Hebu ona aibu aisee!
 
Back
Top Bottom