Nimepewa unabii: Kutakuwa na vifo vya wanafamilia wa Utawala huu

huo unabii wako utakua hauna maana yoyote kama hautasaidia kupunguza bei ya mafuta na gharama za maisha ya watanganyika.
 
Geti la kuzimu likiishafunguka huwa linapitisha watu kama linavyoona inafaa .... Tuendelee kutega sikio ardhini.:ACTINUP:
 
Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
Unabii huu na utimie 💯%. Amen.
 
Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
Mjomba huu utabiri wako ni feki.
 
Typing error, nadhani alitaka kumaanisha, "Nimeona" akaandika "Nimeota"...
Huu uzushi.
Unaota baada ya kuona mmoja wa wana familia amekufa?
Acheni hizo.
Sisi siyo wajinga kiasi hicho.
Ungeleta kabla utabiri wako.
 
Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
Malawi ni noma wanapita na jirani zako kabla hawajakufikia.

Baba, shangazi, mjomba, Mtoto pendwa...kisha wanatulia.
 
Back
Top Bottom