MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
- Thread starter
-
- #21
Mimi natoa taarifa kuwa mnyororo ni mrefu sana π π πSasa ndugu nabii mwana wa Tito mbona umeoteshwa na wakati tayari Kuna kifo kimetokea hapo cha sukari ya SSH inakuaje?
Unabii huu na utimie π―%. Amen.Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
Mjomba huu utabiri wako ni feki.Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
Abdul yuko kwenye foleni, ni either Samia au Abdul mmoja amzike mwenzakeMjomba huu utabiri wako ni feki.
Huu uzushi.
Unaota baada ya kuona mmoja wa wana familia amekufa?
Acheni hizo.
Sisi siyo wajinga kiasi hicho.
Ungeleta kabla utabiri wako.
Alipoamka akakuta kitandani pameloa piaHii ndoto mbona kama umeiota kukiwa kumekucha...
Malawi ni noma wanapita na jirani zako kabla hawajakufikia.Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
Utabiri wenu ni wa mabaya tu, sio mazuri?.Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
Siku hiyo naenda The Kilimanjaro hotel kula buffet maalumMimi natoa taarifa kuwa mnyororo ni mrefu sana π π π
Abdul anaweza kuwepo
Itakuwaje kuwaje na itakuwa lini?Abdul yuko kwenye foleni, ni either Samia au Abdul mmoja amzike mwenzake