Nimepiga chabo sana semester nzima kuelekea UE msaada tafadhari

Kwa maelezo yako tuu..unaonekana wewe siyo university material.

Kiufupi wewe Ni kilaza!!!
Commitment level yako Ni ndogo sana...unataka mafanikio ya mtelezo...wakati unajua fika no pain no gain!!!
Huwezi kufaulu bila kuinvest knowledge kwenye brain.

Ushauri wangu:
Wake up before it is too late..
Vinginevyo acha kupoteza mda rudi kitaa tafta shughuli yoyote soft inayoendana Na ubongo wako ufanye.
 
Wasomi wa mwendokasi hawa. Ingekuwa enzi zetu solution ilikuwa rahisi na ya uhakika ..... unaomba kurudia mwaka. Hii ilikuwa inatusaisia ili kumaster masomo yako, sio kupata alama za juu tu ambapo mbeleni hazina faida yeyote
Ukwel mtupu
 
Nimeomba ushauri,,sijaomba kutukanwa
 
Du mjomba hapo sali sana...na kaa karibu na genius
 


Unatakiwa ufeli kwanza ndio utajua uko hapo chuo kwa ajili gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…