Nimepiga kura Trump arudishwe Twitter

Nimepiga kura Trump arudishwe Twitter

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Bwana Elon ameanzisha kura ya maoni kwenye mtandao wake wa Twitter akitaka maoni ya wadau kama Trump arudishwe Twitter ama lah.

Bwana Elon amesisitiza kwamba maoni ya watu, maoni ya Mungu hivyo kura nyingi sauti ya mungu.

Binafsi nimepiga kura Trump arudishwe Twitter.

Screenshot_20221119-071154_Twitter.jpg
 
Bwana Elon ameanzisha kura ya maoni kwenye mtandao wake wa Twitter akitaka maoni ya wadau kama Trump arudishwe Twitter ama lah.

Bwana Elon amesisitiza kwamba maoni ya watu, maoni ya Mungu hivyo kura nyingi sauti ya mungu.

Binafsi nimepiga kura Trump arudishwe Twitter.

View attachment 2420640
Na Mimi nimempigia Ila Trump nilimuelewasana
 
Ni sehemu ya kampeni za urais za Trump.

Musk anamkubali sana Trump na wana kitu nyuma ya pazia

Hivi kuna mtu MAARUFU nchini marekani kama Trump!? Ni tishio, mpaka wanamuundia zengwe la kumchunguza. Lkn kwa sababu ni mtu anayejitambua amesema hatatoa ushirikiano.

Hata mimi namkubali sana, sasa nasoma kitabu chake (Non Fiction Book) "The Art of the Deal".
 
Bwana Elon ameanzisha kura ya maoni kwenye mtandao wake wa Twitter akitaka maoni ya wadau kama Trump arudishwe Twitter ama lah.

Bwana Elon amesisitiza kwamba maoni ya watu, maoni ya Mungu hivyo kura nyingi sauti ya mungu.

Binafsi nimepiga kura Trump arudishwe Twitter.

View attachment 2420640

Jamani tusome pia vitabu vyake. Maana ni mmoja wa most brilliant mind in deal making.

Pia aliwahi kuwa best best student chuoni kwao.
 
Trump hana tofauti na viongozi wa Africa, Republicans watapata taabu kumuuza,
Wale aliowapendekeza kwenye useneta wamepigwa chini.
Dunia inaiitaji sana marekani, akija rais wa American first ni hatari kwa dunia
 
Nani asome kitabu cha mwehu?
Niache kumsoma Ben Carlos nikamsome mwehu?
Mtu aliyetaka kuharibu democracy ya taifa kubwa ulimwenguni?
Trump aliongeza maradufu thaman ya estate zake ili kufaidi depreciation kubwa ambayo inapunguza faida ya chargeable income.
Huu ni ukwepaji wa kodi, sio standards za mtu wa kuwa rais wa mmarakeni
 
Rudia kusoma alichokiandika kabla hujamurupuka kujibu.

Jitahidi kua unaelewa kwanza kamba hujaachia uharo wako.
 
Nani asome kitabu cha mwehu?
Niache kumsoma Ben Carlos nikamsome mwehu?
Mtu aliyetaka kuharibu democracy ya taifa kubwa ulimwenguni?
Trump aliongeza maradufu thaman ya estate zake ili kufaidi depreciation kubwa ambayo inapunguza faida ya chargeable income.
Huu ni ukwepaji wa kodi, sio standards za mtu wa kuwa rais wa mmarakeni

Hizo ni hisia tu. But the guy is one of brightest talents in USA (presidents).
 
Trump mwenyewe kawazodoa kasema hataki kurudi Twitter.

Mnampapatikia mtu arudi Twitter wakati yeye mwenyewe hataki.

Reuters.

Trump snubs Twitter after Musk announces reactivation of ex-president's account

Ni maneno tu ila atarudi.

Kwa nia yake ya kugombea lazima atarudi ili kuwafikia wapiga kura wake wengi.

Wanasiasa sio wa kuwaamini sana.

Kwa sasa lazima apigie debe mtandao wake ila nina hakika atarudi tu twitter.

Hawezi kuacha audience ya watu karibu 90m wanaomfuata twitter akakomaa na truth social yake ambayo haina hata watu milioni 2, atakua mwanasiasa mjinga.

Anyway, yote hayo ni maneno tu ila muda utasema.
 
Trump hana tofauti na viongozi wa Africa, Republicans watapata taabu kumuuza,
Wale aliowapendekeza kwenye useneta wamepigwa chini.
Dunia inaiitaji sana marekani, akija rais wa American first ni hatari kwa dunia
Mzee unajua waliokuwa endorsed na trump ni wangapi na wameshinda wangapi au ndio propaganda zinakuchanganya ?
 
Back
Top Bottom