Nimepiga kura Trump arudishwe Twitter

Nimepiga kura Trump arudishwe Twitter

Ni maneno tu ila atarudi.

Kwa nia yake ya kugombea lazima atarudi ili kuwafikia wapiga kura wake wengi.

Wanasiasa sio wa kuwaamini sana.

Kwa sasa lazima apigie debe mtandao wake ila nina hakika atarudi tu twitter.

Hawezi kuacha audience ya watu karibu 90m wanaomfuata twitter akakomaa na truth social yake ambayo haina hata watu milioni 2, atakua mwanasiasa mjinga.

Anyway, yote hayo ni maneno tu ila muda utasema.
Wewe unaishi wapi mkuu? Nchi gani?
 
Kuna watu wanaona bora wao wabaki twiiter ila si Trump, na bado wanapigania uhuru wa maoni. Ni kama ambavyo Elon anachukiwa sasa kwa misimamo yake.
 
Back
Top Bottom