Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Na Mimi nimempigia Ila Trump nilimuelewasanaBwana Elon ameanzisha kura ya maoni kwenye mtandao wake wa Twitter akitaka maoni ya wadau kama Trump arudishwe Twitter ama lah.
Bwana Elon amesisitiza kwamba maoni ya watu, maoni ya Mungu hivyo kura nyingi sauti ya mungu.
Binafsi nimepiga kura Trump arudishwe Twitter.
View attachment 2420640
Ni sehemu ya kampeni za urais za Trump.
Musk anamkubali sana Trump na wana kitu nyuma ya pazia
Bwana Elon ameanzisha kura ya maoni kwenye mtandao wake wa Twitter akitaka maoni ya wadau kama Trump arudishwe Twitter ama lah.
Bwana Elon amesisitiza kwamba maoni ya watu, maoni ya Mungu hivyo kura nyingi sauti ya mungu.
Binafsi nimepiga kura Trump arudishwe Twitter.
View attachment 2420640
Nani asome kitabu cha mwehu?Jamani tusome pia vitabu vyake. Maana ni mmoja wa most brilliant mind in deal making.
Pia aliwahi kuwa best best student chuoni kwao.
Rudia kusoma alichokiandika kabla hujamurupuka kujibu.Nani asome kitabu cha mwehu?
Mtu aliyetaka kuharibu democracy ya taifa kubwa ulimwenguni?
Trump aliongeza maradufu thaman ya estate zake ili kufaidi depreciation kubwa ambayo inapunguza faida ya chargeable income.
Huu ni ukwepaji wa kodi, sio standards za mtu wa kuwa rais wa mmarakeni
Trump ni mwafrika mweupeRudia kusoma alichokiandika kabla hujamurupuka kujibu.
Jitahidi kua unaelewa kwanza kamba hujaachia uharo wako.
Hujaelewa bado huyo ndugu amemsemea nani, sio Trump, amesema kuhusu ElonTrump ni mwafrika mweupe
Nani asome kitabu cha mwehu?
Niache kumsoma Ben Carlos nikamsome mwehu?
Mtu aliyetaka kuharibu democracy ya taifa kubwa ulimwenguni?
Trump aliongeza maradufu thaman ya estate zake ili kufaidi depreciation kubwa ambayo inapunguza faida ya chargeable income.
Huu ni ukwepaji wa kodi, sio standards za mtu wa kuwa rais wa mmarakeni
Ni maneno tu ila atarudi.Trump mwenyewe kawazodoa kasema hataki kurudi Twitter.
Mnampapatikia mtu arudi Twitter wakati yeye mwenyewe hataki.
Reuters.
Trump snubs Twitter after Musk announces reactivation of ex-president's account
Trump snubs Twitter after Musk announces reactivation of ex-president's account
The former president said he had no interest in returning as a slim majority of Twitter users voted in favor of reinstating him in a poll organized by Elon Musk.www.reuters.com
Mzee unajua waliokuwa endorsed na trump ni wangapi na wameshinda wangapi au ndio propaganda zinakuchanganya ?Trump hana tofauti na viongozi wa Africa, Republicans watapata taabu kumuuza,
Wale aliowapendekeza kwenye useneta wamepigwa chini.
Dunia inaiitaji sana marekani, akija rais wa American first ni hatari kwa dunia