Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanaJF!

Ginimbi hatarii Aisee. Mungu ampokee kishujaa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa haijalishi angekuwa maskini ama tajiri.

Nimepiga mahesabu yangu ya haraka tu nadhan gharama za magari yote aliyomiliki ni kama 10-20 million US dollars.

Mfano tu ile Lamborghini avantador mpya ni 500k US $ kuisafirisha hadi kodi iingie barabaran na insurance ni 500k + $. Jumla 1.2 m

Ferrari 488 spyder 450k us $ ongezea kodi jumla 1.2 m
Hayo magari mawili tu yamemgharimu 2.5 US dollars.

Haya magari yote matatu Rolls Royce phantom, wrath na dawn yamemgharimu pamoja na kodi 3m + US$.

Bentley continental - 800k-1m US $

MERCEDES G 63- 800K-1M

RANFE ROVER SRV - 300k - 500k

Range rover autobiography 800k-1m

Yani hizo kwa uchache tu

Habari za tajiri Muulize maskini!

1669919_GINIMBI2.jpg
 
Sasa hayo magari yana umhimu gani kuwa na gharama hivyo kama yamekosa hata Auto-fire extinguisher ili alipopata ajali moto ungezimwa na built-in extinguisher?

Si bora angemiliki Subaru au IST tujue moja!

Hatukatai yana gharama lakini tujiulize kama yameshindwa kuwa teknolojia ndogo kama hii ambayo hata premio yangu nimeweza kuidesign ...je gharama zake hizo ni kwa faida gan?

Bora angeziwekeza akazilisha ajira na kuacha urithi kuliko magari yaliyojaa ubatili mtupu!
Gari ya gharama kama haina security ni upuuzi!
 
Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa
 
Unajua kwamba extinguisher zina capacity zake? Au unadhani sababu premio yako ina extinguisher basi inaweza kuzima moto wowote ule? Hata magari ya zima moto kuna moto mwingine yanasanda kama upo out of their capacity. Ndo nyie mnaodhani kama gari ni 4WD basi haiwezi kukwama kamwe.

Labda utuambie jina la kampuni yako tujue Kati yako wewe na yeye nani kazalisha ajira nyingi na kuacha urithi zaidi maana kampuni yake tayari inajulikana.
Bora angeziwekeza akazilisha ajira na kuacha urithi kuliko magari yaliyojaa ubatili mtupu!
 
Jamaa nasikia alikua na umri wa miaka 36 tu alafu mama yake alikuwa anaishi kilomita 3 toka hapo anapoishi mshkaji mama yake alikua masikini wa kutupwa mpaka anafariki mwaka jana. Nasikia iyo ndagu yake ilikua hailuhusu kusaidia ndugu wala kuzaa.
 
jamaa nasikia alikua na umri wa miaka 36 tu alafu mama yake alikuwa anaishi kilomita 3 toka hapo anapoishi mshkaji mama yake alikua masikini wa kutupwa mpaka anafariki mwaka jana. Nasikia iyo ndagu yake ilikua hailuhusu kusaidia ndugu wala kuzaa.
Hapo nakubali. Alitaka maisha ya kifahari nje ya uwezo wake.
 
Sasa hayo magari yana umhimu gani kuwa na gharama hivyo kama yamekosa hata Auto-fire extinguisher ili alipopata ajali moto ungezimwa na built-in extinguisher?

Si bora angemiliki Subaru au IST tujue moja!

Hatukatai yana gharama lakini tujiulize kama yameshindwa kuwa teknolojia ndogo kama hii ambayo hata premio yangu nimeweza kuidesign ...je gharama zake hizo ni kwa faida gan?

Bora angeziwekeza akazilisha ajira na kuacha urithi kuliko magari yaliyojaa ubatili mtupu!
Gari ya gharama kama haina security ni upuuzi!
Huyu jamaa ni falass sana. Yaani yeye anajaza magari kwenye nyumba baadala ya kujaza wake kama king mswati.
 
Alipangiwa na nani!? Ingekuwa hivyo kungekuwa hakuna haja ya kutubu kuacha pombe n.k maana kama imepangwa then unatubu ili iweje! So hakunaga mipango Bali ukiona jambo tambua kuna uzembe ulifanyika mahali
Kweli kabisa usemalo mzee.
Yaani ni kama mie hapa mgegedaji kweli kweli alafu siku naja kufa kwa ngoma niseme mungu amepanga.

Amepanga wapi wakati ni ujinga wangu mie mwenyewe kwa kuendekeza ngono zembe
 
Sasa hayo magari yana umhimu gani kuwa na gharama hivyo kama yamekosa hata Auto-fire extinguisher ili alipopata ajali moto ungezimwa na built-in extinguisher?

Si bora angemiliki Subaru au IST tujue moja!

Hatukatai yana gharama lakini tujiulize kama yameshindwa kuwa teknolojia ndogo kama hii ambayo hata premio yangu nimeweza kuidesign ...je gharama zake hizo ni kwa faida gan?

Bora angeziwekeza akazilisha ajira na kuacha urithi kuliko magari yaliyojaa ubatili mtupu!
Gari ya gharama kama haina security ni upuuzi!
consumerism capitalism

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwamba extinguisher zina capacity zake? Au unadhani sababu premio yako ina extinguisher basi inaweza kuzima moto wowote ule? Hata magari ya zima moto kuna moto mwingine yanasanda kama upo out of their capacity. Ndo nyie mnaodhani kama gari ni 4WD basi haiwezi ikakwama kamwe.

Labda utuambie jina la kampuni yako tujue Kati yako wewe na yeye nani kazalisha ajira nyingi na kuacha urithi zaidi maana kampuni yake tayari inajulikana.
Wewe hujui chochote! Kaa kimya! Kuna chemical ambazo zinaweza kuzima moto wa mafuta na umeme n.k!
Universal extinguisher!

Yaani inaweza zima moto dara A,B,C
 
Back
Top Bottom