Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Jamaa nasikia alikua na umri wa miaka 36 tu alafu mama yake alikuwa anaishi kilomita 3 toka hapo anapoishi mshkaji mama yake alikua masikini wa kutupwa mpaka anafariki mwaka jana. Nasikia iyo ndagu yake ilikua hailuhusu kusaidia ndugu wala kuzaa.
Hivi ndagu huwa ni Africa tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ni falass sana. Yaani yeye anajaza magari kwenye nyumba baadala ya kujaza wake kama king mswati.
Mkuu alikua anawachakata sana ndio mana kifo chake unakuta hakijapiga zimbabwe tu dada zetu kuanzia hapa bongo kenya uganda south africa wote wanalia kuwa wamepoteza danga la maana wadada wengi ukiona wanapost wanasafiri huwa wanaenda kudanga huko nje ya nchi
 
Ah basi alikuwa anafanya vyema maana hela tumia kwa warembo uwagegede hadi raha
 
Umeona eeeh
Ndio hivyo mkuu kupata kwako ngoma ilipangwa forces za nature zilikupeleka ugegede ili upate ngoma na ufe jins ilivyopangwa.

Jiulize wangapi wanagegesa ovyo ovyo hawapati ngoma na kufa tu huku wamelala usingizini.

Hivi vitu ni kweli kabisa
 
Wa uhalali why amewekeza kwenye magari wakati kwao kuna maskini wakutosha angewatengenezea Akira kwa kuweka kwenye nchi yake
Ajira jamaa katengeneza na alikuwa mtu wa watu. Utajiri wake jamaa ni zaidi ya 100 M us dollars. Siyo mchezo
 
utajiri wa kuumiza wengine, mwisho wake huwa mbaya
 
Alipangiwa na nani!? Ingekuwa hivyo kungekuwa hakuna haja ya kutubu kuacha pombe n.k maana kama imepangwa then unatubu ili iweje! So hakunaga mipango Bali ukiona jambo tambua kuna uzembe ulifanyika mahali
Sasa hata huo uzembe ulishapangwa na forces of nature ili ishu husika itiki
 
utajiri wa kuumiza wengine, mwisho wake huwa mbaya
Kamuumiza nani mkuu. Hata kama kaumiza wangapi wanawaumiza wengine hawawi matajiri kama huyu.

Ok wanamsema Diamond ni ngada. Wangapi wako kwenye ngada ni maskini.

Wengine wanawasingizia Akina Airinii wanauza K ndio maana ni mamilion EA. Wangapi wanauza k bado maskini?

Walisema Lowasa fisadi ndio maana bilionea. Wangapi ni mafisadi lakini maskini?

Utajiri ni bahati ndio maana matajiri ni wachache duniani
 
Back
Top Bottom