Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Jamaa nasikia alikua na umri wa miaka 36 tu alafu mama yake alikuwa anaishi kilomita 3 toka hapo anapoishi mshkaji mama yake alikua masikini wa kutupwa mpaka anafariki mwaka jana. Nasikia iyo ndagu yake ilikua hailuhusu kusaidia ndugu wala kuzaa.
Ukiona statement ya 'nasikia' 'nasikia' ogopa sana ukweli wa hio sentensi.
 
utajiri ni bahati? huyo jamaa ni known conman, kaliza wengi sana...jipe muda ufanye hata internet research, hao alikoufa nao wote wale wale, mmoja ni mhalifu wa malawi, alikuwa anatafutwa kwenye scandal ya cashgate (unaweza ku google pia), mwanamke nae mpigaji...
Wangapi ni maconmen lakini maskini?
 
We mbuzi wa mtori hujui kwamba kuna fume ambayo unaweza itega ikilipuka inazima kama Bomu!?
Pia hujui vyanzo vya moto kwenye gari viaanzia wapi?
Au unataka nikupe elimu kijanja kwendraa
Mkuu kila moto una kiwango chake Cha kuzima na kuna moto mwingine hauwezekani kuzima Kutokana na intensity yake
Mfano jengo la world trade center lilikuwa Nina self fire extinguisher kila chumba ila ule moto wa jet fuel ulikuwa hauwezi kuwa contained na zile fire jets
Juzi Kati tu hapa ndege ya China imeungua moto na kuua abiria zaidi ya 40 ikiwa uwanjani na surrounded na fire brigades zaidi ya Sita lakini zilishindwa kuuzima moto

So inaezekana kukawa na Gari yenye feature ya kujizima moto lakini Inategemea na moto wenyewe ulivyopamba, kama Gari ilianguka na tenki likapasuka spilling zaidi ya Lita kadhaa kwenye ground, mlipuko wake hatuwezi kuzimwa kwa nguvu za kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Rolls Royce ni wakulaumiwa. Inawezekanaje Ginimbi agongane uso kwa uso bila airbags kutoka na kutupwa nje japo hakuvaa mkanda?
 
Back
Top Bottom