Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Utabishaje bila kuweka facts mezani!?
Mbona shangazi kaenda ICC kuthibitisha uchaguzi haukua halali !
Naelewa umuhimu wa facts. Mimi ndiye nimeanza kuongelea facts hapa. Wewe unataka kunipora habari za facts.

Ndiyo maana nilivyoona zimeletwa habari za huyu mtu kupangiwa kufa, nikauliza hivi.

"Unaweza kuthibitisha hilo, with facts?"

Hujathibitisha.

Unaweza kuthibitisha huyu mtu alipangiwa kufa hivyo? With facts?
 
Mpaka kuuliza hivyo, ni tayari Una facts za kutokupangiwa Ivo, sasa zimwage hapa, vinginevyo hata akiziweka hutajua kitu, ila utabisha tu.
 
Tatizo unayafatilia magari kwa nyuma, Bali hufuatilii technolojia!
Ungekuwa unafuatilia technology usingebisha na kitu cha wazi!
Kama teknolojia ya puto la ajali IPO na inafanya kaz, unashindwaje kutambua fire detector and suppression?
Mkuu airbags zinasaidia kwa kiwango fulani tu na mara nyingine hazisaidii ,kwenye rollover kwa mfano airbag inakusaidiaje?
Humu barabarani mara kadhaa tunazihifadhi matiti za binadamu wenzetu wakiwa kwenye Gari kali airbags zimedeploy wakati watu washajibamiza na kupoteza maisha kwenye ajali
Sisemi kwamba hazisaidii Bali nazo Zina ukomo sio silver bullet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndio kitu inatakiwa ifanywe kila wikend ....bonge la party la kugegena tuu.....yaani hapo mchawi pumzi kama ya tk master tuisila kisinda 🤣🤣🤣🤣
mkuu mashine si itachubuka
 
Sasa hayo magari yana umhimu gani kuwa na gharama hivyo kama yamekosa hata Auto-fire extinguisher ili alipopata ajali moto ungezimwa na built-in extinguisher?

Si bora angemiliki Subaru au IST tujue moja!

Hatukatai yana gharama lakini tujiulize kama yameshindwa kuwa teknolojia ndogo kama hii ambayo hata premio yangu nimeweza kuidesign ...je gharama zake hizo ni kwa faida gan?

Bora angeziwekeza akazilisha ajira na kuacha urithi kuliko magari yaliyojaa ubatili mtupu!
Gari ya gharama kama haina security ni upuuzi!
Mzee, hata ndege ya kisasa kabisa kama A320 haina hiyo unayoita built in extinguisher sembuse Lambo
 
Tatizo unayafatilia magari kwa nyuma, Bali hufuatilii technolojia!
Ungekuwa unafuatilia technology usingebisha na kitu cha wazi!
Kama teknolojia ya puto la ajali IPO na inafanya kaz, unashindwaje kutambua fire detector and suppression?
Gari yeyote yenye fire suppression system haiwezi kushika moto sio? Kwa mantiki hiyo gari yeyote ambayo ni 4WD haiwezi kukwama nayo.

Mara ngapi Tesla zinaungua pamoja na kuwa na the safest ratings?

Unajua ajali ya Ginimbi ilikua collision kabla ya moto au unaropoka tu.

Majengo, magari na equipment nyingi tu zina fire suppression system in place na zinaungua to majivu.

Utakua bilionea ukipata teknology inayozuia moto kabisa.
 
Inakuwaje wanaJF!

Ginimbi hatarii Aisee. Mungu ampokee kishujaa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa haijalishi angekuwa maskini ama tajiri.

Nimepiga mahesabu yangu ya haraka tu nadhan gharama za magari yote aliyomiliki ni kama 10-20 million US dollars.

Mfano tu ile Lamborghini avantador mpya ni 500k US $ kuisafirisha hadi kodi iingie barabaran na insurance ni 500k + $. Jumla 1.2 m

Ferrari 488 spyder 450k us $ ongezea kodi jumla 1.2 m
Hayo magari mawili tu yamemgharimu 2.5 US dollars.

Haya magari yote matatu Rolls Royce phantom, wrath na dawn yamemgharimu pamoja na kodi 3m + US$.

Bentley continental - 800k-1m US $

MERCEDES G 63- 800K-1M

RANFE ROVER SRV - 300k - 500k

Range rover autobiography 800k-1m

Yani hizo kwa uchache tu

Habari za tajiri Muulize maskini!

View attachment 1624186

Tajiri hawezi kuvaa zilizochanika.
 
Mzee mkubwa kama hujui jambo ni bora ukatulia na kusoma comments za watu..utaonekana una busara.

Ushauri wa bure!

Na wewe una hiyo technology ya kufanya magari yasishike? Kwanini msiiuze kwa car manufactures muwe mabilionea kama Ginimbi.

Anza na Tesla ambao magari yao yanashika moto kila siku:
 
Alikua na mke anaitwa Zodwa waliachana. Ni shoga mkubwa sana wa Zari
It was earlier reported that Ginimbi wife was Zodwa Mkandla. There are no records to prove that the two were married. However, in 2018, Ginimbi disclosed that they were no longer together but have remained great business partners.
 
Mwana Tanu na tajiri wa mwanzo mweusi kumiliki Ma ghorofa kariakoo.
Mpaka sasa nanufaika kwa pesa zake ingawa hakuna anayenijua familia ile. Kuna ka chaneli kao pesa zake zinanilipia ada kwa miaka kama kumi sasa. Huwa tunakutana kanisani mara chache na events chache tu ninapoenda kama 'mbwa-mbwa'. Nimewakariri sura tu isipokuwa kaka yao mkubwa jina limenitoka kidogo.

Mzee jumba lake la ufukweni
 
'Huwa tunakutana kanisani mara chache na events chache tu ninapoenda kama 'mbwa-mbwa'.

Hahah daah hapo umeua mzee baba,watu walioingia uchumi mkubwa tangu enzi na enzi.
 
Back
Top Bottom