cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hata kwa wazungu hujaskiq ya kanye na kina kardashian family
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwa wazungu hujaskiq ya kanye na kina kardashian family
Noma Sana huyo ginimbi alikuwa ana date na rafiki wa zarina zodwa,, Ila mbele ya hela urafiki tupa kuleInasemekana hadi huyu zari wa diamond amewai chakatwa na jamaa na juzi kati zari alikua na birthday jamaa alim post
Ndagu yao nini hao?Hata kwa wazungu hujaskiq ya kanye na kina kardashian family
Mbona alikuwa na mtoto!Jamaa nasikia alikua na umri wa miaka 36 tu alafu mama yake alikuwa anaishi kilomita 3 toka hapo anapoishi mshkaji mama yake alikua masikini wa kutupwa mpaka anafariki mwaka jana. Nasikia iyo ndagu yake ilikua hailuhusu kusaidia ndugu wala kuzaa.
Fanya mchezo nini kuungua ndani ya rolls Royce lazima ndugu washtuke.Saizi najiuliza yale majumba na ile mipira ya moto nani atailithi manake ndugu zake hawataki hata kuzisikia hizo mali
For sure....unampangia vp mtu matumizi ya mtonyo wake wakati hujui kautafuta kivp'Bora angeziwekeza akazilisha ajira'.
Hayo mambo ya kuzalisha ajira aliwaachia na nyie mfanye mzee baba.
Abunuasi.mkuu hadi ulaya ndagu ipo ushahidi angalia movie ya harry porter
Kamuumiza nani mkuu. Hata kama kaumiza wangapi wanawaumiza wengine hawawi matajiri kama huyu.
Ok wanamsema Diamond ni ngada. Wangapi wako kwenye ngada ni maskini.
Wengine wanawasingizia Akina Airinii wanauza K ndio maana ni mamilion EA. Wangapi wanauza k bado maskini?
Walisema Lowasa fisadi ndio maana bilionea. Wangapi ni mafisadi lakini maskini?
Utajiri ni bahati ndio maana matajiri ni wachache duniani
Huyu katoa wapi ukwasi wote huu hali ya kuwa nchi yake ni maskini kabisa ulimwenguni.Inakuwaje wanaJF!
Ginimbi hatarii Aisee. Mungu ampokee kishujaa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa haijalishi angekuwa maskini ama tajiri.
Nimepiga mahesabu yangu ya haraka tu nadhan gharama za magari yote aliyomiliki ni kama 10-20 million US dollars.
Mfano tu ile Lamborghini avantador mpya ni 500k US $ kuisafirisha hadi kodi iingie barabaran na insurance ni 500k + $. Jumla 1.2 m
Ferrari 488 spyder 450k us $ ongezea kodi jumla 1.2 m
Hayo magari mawili tu yamemgharimu 2.5 US dollars.
Haya magari yote matatu Rolls Royce phantom, wrath na dawn yamemgharimu pamoja na kodi 3m + US$.
Bentley continental - 800k-1m US $
MERCEDES G 63- 800K-1M
RANFE ROVER SRV - 300k - 500k
Range rover autobiography 800k-1m
Yani hizo kwa uchache tu
Habari za tajiri Muulize maskini!
View attachment 1624186
😁😁 Asiiise wewe jamaa unapenda kuchakataSafi cha msingi ni kuwagegeda tuu ukiwa na hela. Yaani unakuwa una organize sex parties tuu. Hapo kila mtu ni kutembea uchi tuu ...mwaga vinywaji Vyakula coc pot vodka u name it
Ah wee haya maisha ya kwenye keyboard usije akayachukulia real🤣🤣🤣🤣🤣😁😁 Asiiise wewe jamaa unapenda kuchakata
Kuna kitabu kinaitwa ''Who will cry when you die?"Hivi nikifa mimi mtanidiskasi hivi?
kwa hiyo pia wataka kusema kuwa hata Superman ni "real person" na siyo "fictional" huko America. Na kama Tukitaka ushahidi basi tutizame movie ya Superman.mkuu hadi ulaya ndagu ipo ushahidi angalia movie ya harry porter
kwa hiyo pia wataka kusema kuwa Superman ni "real person" na siyo "fictional" huko America. Tukitaka ushahidi tutizame movie ya Superman.
Unapoelekea sasa mwisho wa siku utatuambia hata Spiderman ni kweli na tukitaka ushahidi tuangalie movie ya Spiderman.
Aah wapi msimsingizie Mungu,hauwi kwa ajali hata mara mojaAlipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa
DuhIla jamaa alikuwa na kiburi aisee! Kama kuna mganga basi Wake ni kiboko na kama kuna kafara basi hiyo yake ni muafaka.unaishi kwa raha kwa muda mfupi na unaungua na demu wako mpaka majivu.ni sadaka nzuri.