Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini Pekee ndio hufahamu na kujua kuwa Tajiri anamatumizi mabaya.Inakuwaje wanaJF!
Ginimbi hatarii Aisee. Mungu ampokee kishujaa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa haijalishi angekuwa maskini ama tajiri.
Nimepiga mahesabu yangu ya haraka tu nadhan gharama za magari yote aliyomiliki ni kama 10-20 million US dollars.
Mfano tu ile Lamborghini avantador mpya ni 500k US $ kuisafirisha hadi kodi iingie barabaran na insurance ni 500k + $. Jumla 1.2 m
Ferrari 488 spyder 450k us $ ongezea kodi jumla 1.2 m
Hayo magari mawili tu yamemgharimu 2.5 US dollars.
Haya magari yote matatu Rolls Royce phantom, wrath na dawn yamemgharimu pamoja na kodi 3m + US$.
Bentley continental - 800k-1m US $
MERCEDES G 63- 800K-1M
RANFE ROVER SRV - 300k - 500k
Range rover autobiography 800k-1m
Yani hizo kwa uchache tu
Habari za tajiri Muulize maskini!
View attachment 1624186
Zari anapenda watu wenye pesa.Inasemekana hadi huyu zari wa diamond amewai chakatwa na jamaa na juzi kati zari alikua na birthday jamaa alim post
duuh nimekubali idea yako kivipi? Kwani wewe ndiye mwanamama JK Rowling?nashukuru umekubali idea yangu ya ushaidi wa movie ya harry potter ila unaonekana chadema wewe na una majeraha ya uchaguzi
yeah wanaona ni za moto unaweza kulala mule kwenye gorofa ukachapwa vibokoHawataki mali zake?
😀😀🙌🏾🙌🏾Maskini Pekee ndio hufahamu na kujua kuwa Tajiri anamatumizi mabaya.
Maskini Pekee ndio huona yuko sawa aktika Matumizi
Maskini ndio kiumbe pekee hujua kupangilia bajeti yake.
Maskini ndio kiumbe pekee humwona tajiri kama Adui na mwizi.
Maskini ndio mtu pekee anayeona ana haki katika ufalme wa Mbingu.
Maskini ndio mtu pekee humkataza Elimu ya Fedha mwanae ilia asije kuwa mwizi😂
Maskini Ndio hujiona ana usafi na hatma njema mbele ya Mungu.
Maskini ndio mtu pekee anayeona kujinyima kila kitu hata kilichondani ya uwezo wako kama ndio Sawa siku zote.
Tafta pesa mapambano waachie wanajeshi!Daaaah cjui wanafanyaje watu wanapata pesa kias hcho me napambna lakin mambo nga nga kula yangu ya siku tu shida 😭😭..!! Kwel utajir bahat sio nywele za kwapa kila mtu awe nazo ila nitapambna tu sitachoka.
Mkuu, siku ukiupata utajiri jiandae kuandamwa na siye masikini kila mmoja akikupangia cha kufanya kwa pesa zako.Daaaah cjui wanafanyaje watu wanapata pesa kias hcho me napambna lakin mambo nga nga kula yangu ya siku tu shida 😭😭..!! Kwel utajir bahat sio nywele za kwapa kila mtu awe nazo ila nitapambna tu sitachoka.
Lakini wanawake ndio hupenda mwanaume ambaye ana ukwasi kama huo bila kujali ni kwa mashart gan, mwanamke ukitaka akuchukie uwe maskini, nimewaona wengi wakiwa wanafurahia maisha ya anasa bila kujali waume zao wanapata wapi hela, yeye mradi ale bata kila sikuJamaa nasikia alikua na umri wa miaka 36 tu alafu mama yake alikuwa anaishi kilomita 3 toka hapo anapoishi mshkaji mama yake alikua masikini wa kutupwa mpaka anafariki mwaka jana. Nasikia iyo ndagu yake ilikua hailuhusu kusaidia ndugu wala kuzaa.
😂😂😂😂😂 ukinywa soda shida ..!! Nitayakabir tu maneno yenu me muhmu nipate tu hizo pesa nilumbue maana shida hazijawah kuzoeleka jmn.Mkuu, siku ukiupata utajiri jiandae kuandamwa na siye masikini kila mmoja akikupangia cha kufanya kwa pesa zako.
Utaitwa Mtoa Ndagu, utaitwa Freemason n.k.
Ole wako uonekane unakunywa soda, utaambiwa ndiyo masharti uliyopewa ili ubaki tajiri.
Hata ukipata ajali pia utaambiwa umeshindwa kufata masharti ya Freemason. As if mtu ukiwa Tajiri wa USD millions basi wewe hustahili kupata Misiba, Majanga, Ajali etc.
Na ukisikiliza na kufuata kila maneno hasi yasemwayo na watu basi maisha yatakuwa tafu kweli japo pesa unayo.
😂😂😂😂😂😂 sawa mkuu ila kutafuta hizo pesa ndo kupambna kwan mapambno siyo lazima uwe mwakinyo au blegedia shilingi pale msitu wa congo.Tafta pesa mapambano waachie wanajeshi!
Misingi ya pesa hutaftwa! Siyo kupambana!
Unless uwe ni bondia wa ngumi za shilikisho!
ukiwa tajiri, Sasa ole wako uonekane unakula Tembele au uwe na ka-nguo flani unakapenda kukavaa vaa mara kwa mara, Ohoooo utajuta, utaambiwa ndiyo masharti yako uliyopewa..😂😂😂😂😂 ukinywa soda shida ..!! Nitayakabir tu maneno yenu me muhmu nipate tu hizo pesa nilumbue maana shida hazijawah kuzoeleka jmn.
Lakini wanawake ndio hupenda mwanaume ambaye ana ukwasi kama huo bila kujali ni kwa mashart gan, mwanamke ukitaka akuchukie uwe maskini, nimewaona wengi wakiwa wanafurahia maisha ya anasa bila kujali waume zao wanapata wapi hela, yeye mradi ale bata kila siku
halafu hawa jamaa wenye hela hivi sura zao km wanakunya why?Hii ni kama mamaake Jacky Pemba
Yuko huko segerea uswekeni ni masikini wa kutupwa ila Jacky anaosha magari na champagne
'Bora angeziwekeza akazilisha ajira'.
Hayo mambo ya kuzalisha ajira aliwaachia na nyie mfanye mzee baba.
Huo muda uliopiga mahesabu ya hela za mwanaume ungeutumia kuosha vyombo hapo kwa shemeji yako ili upewe ugali wa bureInakuwaje wanaJF!
Ginimbi hatarii Aisee. Mungu ampokee kishujaa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa haijalishi angekuwa maskini ama tajiri.
Nimepiga mahesabu yangu ya haraka tu nadhan gharama za magari yote aliyomiliki ni kama 10-20 million US dollars.
Mfano tu ile Lamborghini avantador mpya ni 500k US $ kuisafirisha hadi kodi iingie barabaran na insurance ni 500k + $. Jumla 1.2 m
Ferrari 488 spyder 450k us $ ongezea kodi jumla 1.2 m
Hayo magari mawili tu yamemgharimu 2.5 US dollars.
Haya magari yote matatu Rolls Royce phantom, wrath na dawn yamemgharimu pamoja na kodi 3m + US$.
Bentley continental - 800k-1m US $
MERCEDES G 63- 800K-1M
RANFE ROVER SRV - 300k - 500k
Range rover autobiography 800k-1m
Yani hizo kwa uchache tu
Habari za tajiri Muulize maskini!
View attachment 1624186
Maneno ya ngumi hayo ndugu !!, mtoa mada unamfahamu lakini ?.Huo muda uliopiga mahesabu ya hela za mwanaume ungeutumia kuosha vyombo hapo kwa shemeji yako ili upewe ugali wa bure