Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
Huyo bado alikuwa millionaire, billionaire mpaka ufike kwenye USD 1 billion mkuu,Hivi chief kweli mtu awe na USD 20 Million then awe milionaire au ulimaanisha ni Billionaire??!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo bado alikuwa millionaire, billionaire mpaka ufike kwenye USD 1 billion mkuu,Hivi chief kweli mtu awe na USD 20 Million then awe milionaire au ulimaanisha ni Billionaire??!
Zipo mbili ipi sasa itachubuka!mkuu mashine si itachubuka
Kwani nikiwa na USD 1 MIllion kwa Tanzania si billionaire?Huyo bado alikuwa millionaire, billionaire mpaka ufike kwenye USD 1 billion mkuu,
Sasa hayo magari yana umhimu gani kuwa na gharama hivyo kama yamekosa hata Auto-fire extinguisher ili alipopata ajali moto ungezimwa na built-in extinguisher?
Si bora angemiliki Subaru au IST tujue moja!
Hatukatai yana gharama lakini tujiulize kama yameshindwa kuwa teknolojia ndogo kama hii ambayo hata premio yangu nimeweza kuidesign ...je gharama zake hizo ni kwa faida gan?
Bora angeziwekeza akazilisha ajira na kuacha urithi kuliko magari yaliyojaa ubatili mtupu!
Gari ya gharama kama haina security ni upuuzi!
Saizi najiuliza yale majumba na ile mipira ya moto nani atailithi manake ndugu zake hawataki hata kuzisikia hizo mali
Kwani yeye kafa ghaflaIle ni Ndagu ya kichawi,,unakua tajiri unakufa gafla,,wataalam wanaita Punje za mahindi kwa kuku
Ginimbi nouma Aisee hilo gari hapo ni Lamborghini aventador svj dolla za kimarekani laki tano hadi kuisafirisha hadi Harare iingie barabarani dollars zingine laki 5 jumla ni kama 1.2 millions dollars.Unaambiwa Mkali Genius kadungure ginimbi, ndiye mwafrika wa kwanza kumiliki magari mengi yenye thamani kubwa duniani . Unaambiwa kufuru ya ginimbi , hata wasanii wa marekani wachache sana wanamgusa kwa ukwasi wake
The guy was filthy rich ,hata neno lenyew rich naona is underated , apumzike kwa amani View attachment 1632107
Naskia alikua MACHINGAHivi ukwasi wake ulitokana na nini
Unaambiwa ni noma hadi Mikate na chai zake zilikuwa za dhahabu......Mchuzi wa Supu ulikuwa wa Silver na nyama za Almasi.Hadi mademu alokuwa anawagegeda papuchi zao zilinakshiwa na dhahabu.
Ginimbi nouma Aisee yani sheeda. Apokelewe tu kishujaa mbinguni.