Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Sasa hayo magari yana umhimu gani kuwa na gharama hivyo kama yamekosa hata Auto-fire extinguisher ili alipopata ajali moto ungezimwa na built-in extinguisher?

Si bora angemiliki Subaru au IST tujue moja!

Hatukatai yana gharama lakini tujiulize kama yameshindwa kuwa teknolojia ndogo kama hii ambayo hata premio yangu nimeweza kuidesign ...je gharama zake hizo ni kwa faida gan?

Bora angeziwekeza akazilisha ajira na kuacha urithi kuliko magari yaliyojaa ubatili mtupu!
Gari ya gharama kama haina security ni upuuzi!

Mzee unadhani hayana top end security features ? Mkuu siku ikifika imefika kwakweli hakuna namna,
 
Unaambiwa Mkali Genius kadungure ginimbi, ndiye mwafrika wa kwanza kumiliki magari mengi yenye thamani kubwa duniani . Unaambiwa kufuru ya ginimbi , hata wasanii wa marekani wachache sana wanamgusa kwa ukwasi wake

The guy was filthy rich ,hata neno lenyew rich naona is underated , apumzike kwa amani
IMG_8811.jpg
 
Halafu kina mbuligeti wametulia tu wanashika namba 2,1 na 3 na hata pesa walizonazo haziitwi zimezidi utajiri..😅

By the way nimependa hilo li njimmmmmmm...😜
 
Huyu mwamba alikuwa anakula kweli? Mbona "ufito" sana.
 
Unaambiwa Mkali Genius kadungure ginimbi, ndiye mwafrika wa kwanza kumiliki magari mengi yenye thamani kubwa duniani . Unaambiwa kufuru ya ginimbi , hata wasanii wa marekani wachache sana wanamgusa kwa ukwasi wake

The guy was filthy rich ,hata neno lenyew rich naona is underated , apumzike kwa amani View attachment 1632107
Ginimbi nouma Aisee hilo gari hapo ni Lamborghini aventador svj dolla za kimarekani laki tano hadi kuisafirisha hadi Harare iingie barabarani dollars zingine laki 5 jumla ni kama 1.2 millions dollars.

Isitoshe wanoko wanadai kwenye majumba yake yote ya kifahari mabomba yana mwaga maziwa, asali na maji safi na salama. Yani kuna opshen tatu za switch ya maziwa asali na maji Safi na salama pia kuna kitufe cha hot, warm, cool and cold.

Pavement za barabara zake ni dhahabu tupu.

Apokelewe tu kishujaa huko mbinguni hamna namna .

Habari za tajiri Muulize tu maskini!
 
Back
Top Bottom