Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Tatizo nyie maatheists mliojawa na kiburi cha uzima hamuwezi kujuwa haya mambo hadi siku zile mko bed ridden ndio mna kumbuka Mungu.
Nimekuuliza swali hujalijibu.

Nimekuuliza hivi.

Unaweza kuthibitisha hilo, with facts?

Hujajibu.

Unarukaruka tu.
 
Wewe hujui chochote! Kaa kimya! Kuna chemical ambazo zinaweza kuzima moto wa mafuta na umeme,n.k!
Universal extinguisher!
Yaani inaweza zima moto dara A,B,C

Ona unavyopuyanga, nimekwambia capacity sio type. Kuwa na multi-purpose fire extinguisher ABC hakufanyi iweze kuzima moto mkubwa kuliko uwezo wake. Huwa mnasomea ujinga huko shuleni? Wildfires zinazimwa mbaka na ndege na bado zinachukua miezi kuzimika
 
Nimekuuliza swali hujalijibu.

Nimekuuliza hivi.

Unaweza kuthibitisha hilo, with facts?

Hujajibu.

Unarukaruka tu.
Mkuu sasa facts gani na mambo yote yako wazi tu
 
Saizi najiuliza yale majumba na ile mipira ya moto nani atailithi manake ndugu zake hawataki hata kuzisikia hizo mali
Afrika hii, kama hakuna mrithi basi rais wa nchi atazirithi
 
Kamuumiza nani mkuu. Hata kama kaumiza wangapi wanawaumiza wengine hawawi matajiri kama huyu.

Ok wanamsema Diamond ni ngada. Wangapi wako kwenye ngada ni maskini.

Wengine wanawasingizia Akina Airinii wanauza K ndio maana ni mamilion EA. Wangapi wanauza k bado maskini?

Walisema Lowasa fisadi ndio maana bilionea. Wangapi ni mafisadi lakini maskini?

Utajiri ni bahati ndio maana matajiri ni wachache duniani
utajiri ni bahati? huyo jamaa ni known conman, kaliza wengi sana...jipe muda ufanye hata internet research, hao alikoufa nao wote wale wale, mmoja ni mhalifu wa malawi, alikuwa anatafutwa kwenye scandal ya cashgate (unaweza ku google pia), mwanamke nae mpigaji...
 
Ona unavyopuyanga, nimekwambia capacity sio type. Kuwa na multi-purpose fire extinguisher ABC hakufanyi iweze kuzima moto mkubwa kuliko uwezo wake. Huwa mnasomea ujinga huko shuleni? Wildfires zinazimwa mbaka na ndege na bado zinachukua miezi kuzimika
We mbuzi wa mtori hujui kwamba kuna fume ambayo unaweza itega ikilipuka inazima kama Bomu!?
Pia hujui vyanzo vya moto kwenye gari viaanzia wapi?
Au unataka nikupe elimu kijanja kwendraa
 
Huyu jamaa ni falass sana. Yaani yeye anajaza magari kwenye nyumba baadala ya kujaza wake kama king mswati.

umewahi kumsikia pablo escobar ? alikuwa ni binadamu tajiri sana ,kwa mujibu wa pelle yule mcheza mpira kuna siku alialikwa gerezani ambapo pablo alitengenezea akakuta wanawake warembo ambao hajawahi kuwaona maishani mwake
sio kila mwenye pesa anaoa wengine wananunua tu warembo
 
Safi cha msingi ni kuwagegeda tuu ukiwa na hela. Yaani unakuwa una organize sex parties tuu. Hapo kila mtu ni kutembea uchi tuu ...mwaga vinywaji Vyakula coc pot vodka u name it
 
Ona unavyopuyanga, nimekwambia capacity sio type. Kuwa na multi-purpose fire extinguisher ABC hakufanyi iweze kuzima moto mkubwa kuliko uwezo wake. Huwa mnasomea ujinga huko shuleni? Wildfires zinazimwa mbaka na ndege na bado zinachukua miezi kuzimika

huyo jamaa achana nae[emoji23]
mimi na kufuatilia kwangu magari kote hasa ambayo watu wengi hawana,sijawahi kuona video ya gari inayojizima moto yenyewe ,yani kwa ule moto ulikuwa ni mkubwa sana hata kama gari ya jamaa ingekuwa na hiyo feature bado isingejizima
 
Safi cha msingi ni kuwagegeda tuu ukiwa na hela. Yaani unakuwa una organize sex parties tuu. Hapo kila mtu ni kutembea uchi tuu ...mwaga vinywaji Vyakula coc pot vodka u name it

kuna jamaa hapa Bongo miaka kama 8 iliyopita zilivuja picha amefanya sherehe ya hivo,yani anatengeneza scarcity makusudi unakuta warembo 30 alafu wanaume 5 ,warembo wote wapo uchi,cheki google picha za hiyo sherehe bado zipo
 
Hiyo ndio kitu inatakiwa ifanywe kila wikend ....bonge la party la kugegena tuu.....yaani hapo mchawi pumzi kama ya tk master tuisila kisinda 🤣🤣🤣🤣
 
huyo jamaa achana nae[emoji23]
mimi na kufuatilia kwangu magari kote hasa ambayo watu wengi hawana,sijawahi kuona video ya gari inayojizima moto yenyewe ,yani kwa ule moto ulikuwa ni mkubwa sana hata kama gari ya jamaa ingekuwa na hiyo feature bado isingejizima
Tatizo unayafatilia magari kwa nyuma, Bali hufuatilii technolojia!
Ungekuwa unafuatilia technology usingebisha na kitu cha wazi!
Kama teknolojia ya puto la ajali IPO na inafanya kaz, unashindwaje kutambua fire detector and suppression?
 
umewahi kumsikia pablo escobar ? alikuwa ni binadamu tajiri sana ,kwa mujibu wa pelle yule mcheza mpira kuna siku alialikwa gerezani ambapo pablo alitengenezea akakuta wanawake warembo ambao hajawahi kuwaona maishani mwake
sio kila mwenye pesa anaoa wengine wananunua tu warembo
Warembo ambao hajawahi kuwaona maishani mwake?
Hatari faya
 
Tatizo unayafatilia magari kwa nyuma, Bali hufuatilii technolojia!
Ungekuwa unafuatilia technology usingebisha na kitu cha wazi!
Kama teknolojia ya puto la ajali IPO na inafanya kaz, unashindwaje kutambua fire detector and suppression?

hahahhaha mkuu, mimi nafuatilia sana huko Youtube teknolojia ,unaona sasa unavojichanganya ? fire detector sio issue niliyoongelea, tunazungumzia teknolojia ya gari kujizima moto lenyewe,mpaka sasa teknolojia iliyopo ni ya gari kutambua kwamba sehemu fulani ina shida basi ila sio ya kuonesha sehemu fulani kuna moto alafu ijizime
 
kuna jamaa hapa Bongo miaka kama 8 iliyopita zilivuja picha amefanya sherehe ya hivo,yani anatengeneza scarcity makusudi unakuta warembo 30 alafu wanaume 5 ,warembo wote wapo uchi,cheki google picha za hiyo sherehe bado zipo
I can't breath kwa kweli
 
Sasa hayo magari yana umhimu gani kuwa na gharama hivyo kama yamekosa hata Auto-fire extinguisher ili alipopata ajali moto ungezimwa na built-in extinguisher?

Si bora angemiliki Subaru au IST tujue moja!

Hatukatai yana gharama lakini tujiulize kama yameshindwa kuwa teknolojia ndogo kama hii ambayo hata premio yangu nimeweza kuidesign ...je gharama zake hizo ni kwa faida gan?

Bora angeziwekeza akazilisha ajira na kuacha urithi kuliko magari yaliyojaa ubatili mtupu!
Gari ya gharama kama haina security ni upuuzi!
'Bora angeziwekeza akazilisha ajira'.

Hayo mambo ya kuzalisha ajira aliwaachia na nyie mfanye mzee baba.
 
Back
Top Bottom