Great great. Bro hapo nakupa saluti za heshima Sana. Kwanza kwa kutibua Safari ambayo ilipangwa mapema bila wewe kushirikishwa, Kama alikupa Taarifa usiku wa tar 15.12. hii Ina maana alishakata tiketi mchana wake au asubuhi na baadaye ndo yakatokea yake Mambo ya wrong number. Naamini alikua anakupa Taarifa na Wala si kukuomba ruhusa. Tayari alishajipanga kwa Safari na hakua anategemea nauli kutoka kwako.Alfajr ya leo kumekucha naamshwa na mke wangu, Anaomba nimpatie nauli, MDA wa Safari yake ndo huu. Nikamjibu "Nmeshaghaili, safar yako haipo Tena"
Akauliza tatizo Nini, mbona Jana tushakubaliana alfajir leo naondoka?. Nikamjibu, "Nmeshaghaili sasa, hakuna Safari yoyote ile, na sitaki unihoji maswali yoyote yale" akasema "sawa,ila unachofanya sio halali mme wangu" .Sikumjibu, nikaamka nikaoga, nikavaa na Kwenda zangu kazini
Nmefika kazini salama, nmejaribu kufanya Kazi ila haziend vizur. Kila nikijaribu kuliwazia tukio la Juzi la laini mpya, Kisha Hii presha ya wife kulazimisha hii Safari, kiukweli Moyo wangu umekua mzito Sana kumruhusu mke wangu asafiri.
Pengine sijajua kama nakosea au vipi,
Ila nmedhamiria kabisa MKE wangu hatosafiri kwenda popote pale msimu huu wote wa sikukuu.
Nawasilisha wakuu
Well said mkuu naunga mkono hoja.Unakosea sana kijana hapo mwanamke una muua Saikorojia yake yaani uyo mkeo anaenda kupunguza intimacy level juu yako
hata penzi atakupa kama baba au gaidi mbakaji na mean time huwez mzuia mwanamke ku date na mchepuko kwasab mchepuko by hu mda ndio huwa wana enjoy sana kwasb ndio comfortzone yake ilipo
wew mwanamke ina bidi una mcomand lakn mpe space yani una kosea Alpha male hawi hivo uki kaa vibaya unaweza lea watoto sio wako
mwanamke unapo mkera nirahis sana kuku cheat huyo kijana wa ng’ombe anaweza mpa nae au majiran wew si uko kazin kijana?
mwanamke ili akuheshimu lazma agundue kua unajiamin na yeye unamuamin hapo mnaenda sana
acha kumbana mwanamke and kama kosa ulisha solve unalileta mezan tena thats red flag kwa mwanamke
kama una nia ya kufanya uchunguzi izo signs unamuonesha huwez fanikisha kabsa kwasb 24hrs unawaza iko iko sehemu ya kuwekeza akili wew unaweka moyo huwez ona majibu sahihi Change your plan bro
Huo ni ukweli wanawake wengi wanaolewa kwasab ya kutimiza ndoto tu ya kua na mume lkn wengine Ex wao waliachana kwa aman means penzi lao lipo hai kwaio huwez zuia wao kuendelea
wanaume wenye wivu au kuwachunguza sana wanawake mahusiano yao huvunjika kaka badirika ukiendelea ndoa yako inaenda kua chungu sana
Rudia kusoma hii com
Lkn kama alikua ana mpango mungine huwez zuia mwanamke mpe uhuruJambo la pili Ni kwanini analazimisha Sana Safari, yaani anaipambania Kama anaenda kwenye interview. Si Safari salama. Good Sana kwa kuipiga stop.
Jambo lingine, Safari imekolea zaidi baada ya laini mwisho 900 kukupigia na imetoka kwa wife na si namba yake ya siku zote. Baada ya kumtilia mashaka akajitete utetezi ambao mahakama yako imeutupilia mbali kutokana na kwamba Ni ushahidi ambao umekosa viambatanisho. Hata Mimi ningezuia Safari na mitoko yote isiyo ya muhimu
Uko vizuri, pambania, usituangushe. Kuna picha inachezwa.Alfajr ya leo kumekucha naamshwa na mke wangu, Anaomba nimpatie nauli, MDA wa Safari yake ndo huu. Nikamjibu "Nmeshaghaili, safar yako haipo Tena"
Akauliza tatizo Nini, mbona Jana tushakubaliana alfajir leo naondoka?. Nikamjibu, "Nmeshaghaili sasa, hakuna Safari yoyote ile, na sitaki unihoji maswali yoyote yale" akasema "sawa,ila unachofanya sio halali mme wangu" .Sikumjibu, nikaamka nikaoga, nikavaa na Kwenda zangu kazini
Nmefika kazini salama, nmejaribu kufanya Kazi ila haziend vizur. Kila nikijaribu kuliwazia tukio la Juzi la laini mpya, Kisha Hii presha ya wife kulazimisha hii Safari, kiukweli Moyo wangu umekua mzito Sana kumruhusu mke wangu asafiri.
Pengine sijajua kama nakosea au vipi,
Ila nmedhamiria kabisa MKE wangu hatosafiri kwenda popote pale msimu huu wote wa sikukuu.
Nawasilisha wakuu[emoji1431]
Wasiwasi ndio akili wanasema,kwakua ni nafsi moja we nayeye hivyo taarifa mbaya ikikuletea mpasuko moyoni jua ndio jambo lililopo,tumia uanaume kulitatuaAlfajr ya leo kumekucha naamshwa na mke wangu, Anaomba nimpatie nauli, MDA wa Safari yake ndo huu. Nikamjibu "Nmeshaghaili, safar yako haipo Tena"
Akauliza tatizo Nini, mbona Jana tushakubaliana alfajir leo naondoka?. Nikamjibu, "Nmeshaghaili sasa, hakuna Safari yoyote ile, na sitaki unihoji maswali yoyote yale" akasema "sawa,ila unachofanya sio halali mme wangu" .Sikumjibu, nikaamka nikaoga, nikavaa na Kwenda zangu kazini
Nmefika kazini salama, nmejaribu kufanya Kazi ila haziend vizur. Kila nikijaribu kuliwazia tukio la Juzi la laini mpya, Kisha Hii presha ya wife kulazimisha hii Safari, kiukweli Moyo wangu umekua mzito Sana kumruhusu mke wangu asafiri.
Pengine sijajua kama nakosea au vipi,
Ila nmedhamiria kabisa MKE wangu hatosafiri kwenda popote pale msimu huu wote wa sikukuu.
Nawasilisha wakuu[emoji1431]
🤣🤣🤣🤣Sasa a ruhusu aende ili abaki na mawazo?
Akifanya uchunguzi Baada akagundua tendo lishatendeka unadhani itakuwaje.
Jamaa kaamua kuzuia mvua kwa Jani la mgomba
mkuu utakuja kupigiwa vibaya sanaa na nimeona kuna mdau katoa maoni mazuri wew unaangalia makosa ya mke wako tu yakwako husemi na mwingine kakushauri kwamb mruhusu mkeo aende huku unaendelea kufanya uchunguzi taratibu ila uendelee kumchunguza lakin mkubwa wetu hukielewi hiki na kwambia utakuja kupigiwa vibaya sanaa kama unavyovihisi ni vya kwel😢😢😢Kuna watu wanachukulia simple vitu Kama hivi, aisee inaumaje unamruhusu mkeo na akili yako tayar ishakwambia uko anakoenda ataenda kuliwa?[emoji848]
Ni Mara akaliwe nisijue, sio nimruhusu kabisa akaliwe[emoji29]
Madhara ya kuoa haraka mm nilimuona bado mtoto alipo sehema alifunga duka akaenda kuongea na mkee kuhusu laini? kweli?🤣🤣😂😂🤣💔mkuu utakuja kupigiwa vibaya sanaa na nimeona kuna mdau katoa maoni mazuri wew unaangalia makosa ya mke wako tu yakwako husemi na mwingine kakushauri kwamb mruhusu mkeo aende huku unaendelea kufanya uchunguzi taratibu ila uendelee kumchunguza lakin mkubwa wetu hukielewi hiki na kwambia utakuja kupigiwa vibaya sanaa kama unavyovihisi ni vya kwel😢😢😢
yaani daaa swali la kujiuliza mwanaume unafunga sehemu ya biashara kisa mwanamke katumia laini mpyaMadhara ya kuoa haraka mm nilimuona bado mtoto alipo sehema alifunga duka akaenda kuongea na mkee kuhusu laini? kweli?🤣🤣😂😂🤣💔
Umeoa mkuu?yaani daaa swali la kujiuliza mwanaume unafunga sehemu ya biashara kisa mwanamke katumia laini mpya
Hizi presha hazikuwa za bure.Usimruhusu asafiri ili agombane na mchepuko wake! Huko ashajiandaa nyama inakuja.
Hizi presha hazikuwa za bure.Usimruhusu asafiri ili agombane na mchepuko wake! Huko ashajiandaa nyama inakuja.
Akae nyumbani awafanyie watoto manjonjo nao watambe kitaa,umri wake siyo wa kwenda kupewa maagizo na mama yake wakati yy ni mtu wa majukumu. Hii ni kwa7bu huenda familia yako nayo ikapata wageni muda huo wa siku kuu.Mkubwa miaka 9, wa mwisho miaka 2
Upo sahihi mkuuAlfajr ya leo kumekucha naamshwa na mke wangu, Anaomba nimpatie nauli, MDA wa Safari yake ndo huu. Nikamjibu "Nmeshaghaili, safar yako haipo Tena"