Nimepiga marufuku safari zote za mke wangu msimu huu wa sikukuu

Umeoa mkuu?

Hivi unaujua uchungu wa hisia za kuchapiwa mke kweli?

Kuna vitu Kama hujawai kuexperience, Ni Bora ukae kimya TU.

Walio kwny ndoa wanaelewa namanisha nn
Mkuu naweza kukaa meza moja na wewe kisha tukapiga stori.

Asie OA mwache aropoke tu.

Mfano yule anayeongea sana upumbavu mpe bangi avute kwa maana atatulia tuli.
 
Hahaha


Naona hii picha inakujia kichwani Kila ukikumbuka mke wako alichokuwa anafanywa na njemba fulani hivi.


Pole sana
 


Wasiwasi ndo maisha, usije kubali kupelelwa na mwanamke, ila tenda kqa haki, ukiona tu kaanza ota mapembe, yakate, hawa wanawake hawa hawana maana.
 
Hizi presha hazikuwa za bure.
Aifuatilie hiyo laini afanikishe print out kwenye mtandao husika...atakuja na uzi wa uthibitisho
Yeye mwenyewe anashinda kwa mchepuko kila siku.
Na niliwai kumwambia hapa mkeo anajifanya mtiifu ila huko mtaani anabingilishwa vizuri maana muda anao.
Sasa mpk mchunga ngombe anajisevia.
Ye yuko kwa kimada sijui mamaJ
 
Roho zetu zinawasiliana saana, tena pasipo hata sisi kuelewa, ukiona moyo wako una wasiwasi sana, jua kuna kitu hakipo sawa.

Either utake action kukitafuta au usubiri muda utakwambia what was wrong

Nawasilisha🚀🚀
Hawatakuwlewa lkn umesema kweli yote
 
we muache asafiri then utakuwa unafanya uchunguzi wako wa chini chini
ili akaliwe siyo? kuna haja gani unafanya uchunguzi angali unakuta ashatoa vyote huko kwa huyo hawara wake
 
Jamani mpumzishe mtoto wa watu,mwanamke anakaa ndani mwaka mzima anataka kutoka kidogo angalau apumue lakini bado unamkataza,emu kuweni na huruma jamani.Kwa hadithi unazoleta humu inaonekana mkeo huna mda naye japo unajitia kumpenda ila kuna haki za msingi hapati sasa anapata kaupenyo lakini bado unambania,emu jaribu kidogo kujali hisia za mwenzio,acha ubabe

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Leta mrejesho
 
Kama amepanga kuliwa hata asiposafiri ataliwa tu bro
 
Maajabu, kwa hiyo we unavochepuka na huyo Ma J ni sawa eti? Haya leo "till death do you apart" Nae anataka ajaribu nje. Mkuki kwa nguruwe ee. Mwache dada wa watu akasalimie ndugu zake. Kama ana nia ovu hata ufanyaje ataitekeleza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…