Nimepiga mkwara mzito huyu manzi, huwa siendekezi ujinga.

Wewe upo tukuyu mie nipo uyole....na yule Dada wa miujiza ni jirani yangu
Kote nimekaa huko. Tukuyu nimekaa sana, Uyole ndiyo usiseme nimekaa sana maeneo ya Gombe huko, Uyole itezi nimekaa sana, Uyole nsalaga nimekaa sana, Uyole ya kati nimekaa sana, mpaka Kingani huko uyole njia panda kwenye kitimoto nusu Tsh 2,000 napajua sana.
Na nilisema nusu ni Tsh 3,000 inakuwa na ndizi 3 sasa ulikuwa unashangaa nini!!?
 
Tatizo unaokota watu wa kukupunguzia nyege unawaleta home[emoji1787]hawaelewi mipango yoyote ya mbele Kati yenu,kifupi unatafuta demu wa kukuhudumia[emoji1787]so wanaona watumie tu manake hamna future hapo[emoji120]
Point.
 
Na Mbeya ilivyoharibika siku ukimkuta kona za mafiati ujilaumu mwenyewe. Utaletewa magonjwa kwa kujitakia. Umshindishe njaa mtoto wa watu halafu wewe upige kitimoto na ndizi za kuponda mtaani? Dhambi kubwa sana hii. Usimlaze mwanamke njaa .

Akishindwa kubajeti weka bajeti nae. Unaponunua vitu kama mchele mwambie wazi muda unaopaswa kutumika vinginevyo itakuwa ni mwendo wa ugali kwa jiko la mkaa. Ila usimshindishe njaa mwanamke unayemlala na kumwagia shahawa zako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3581]
 
Kuna wanawake wa hovyo kabisa , anakuwa na huruma kupitiliza, hajali bajeti wala nini, anagawa vitu utafikiri ana shamba, ushoga unapitiliza nyumba inakuwa kama kijiwe , na hajali wala nini, ukiona watoto wa majirani wanajazana sana kwako anza kuchukuwa hatua,
 
Yani kaka kila ukiwaeleza wanaona kama utania vile.... sasa huyu kuna msoto wake nimemwandalia hataamini.....
 
Halafu hao mashosti zake nilishawasoma ni wale wanaomtumia mwenzao wakati anacho bila hivyo ni wafiki balaaa ndiyo maana huyo nikampasukia mbaya mbovu na atakuwa kashawaambia wenzie kuwa pale saizi Kwa Moto.....
 
Kidumu cha lita tano kikaa mwaka mmoja na miezi miwili? Hakiku expire kweli? Aiseeee... wee ni bandidu brother. Au alikuwa anachemsha tu alafu mafuta anaspray sio hata kunyunyizq... hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…