Nimepiga sana simu Ofisi ya Rais - UTUMISHI, haipokelewi!

Nimepiga sana simu Ofisi ya Rais - UTUMISHI, haipokelewi!

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Hello JF,

Samahani hivi hii namba ya ofisi ya Rais utumishi, unaweza piga muda wowote au ni muda wa kazi tu? Nimepiga sana haipokelewi.
 
Hello JF,
Samahani hivi hii namba ya ofisi ya Rais utumishi, unaweza piga muda wowote au ni muda wa kazi tu? Nimepiga sana haipokelewi.

Hiyo ndiyo kawaida ya ofisi za Serikali zetu. Labda ingekuwa na country code ya wajomba zetu.
 
Hivi utumishi na tamisemi ni tofauti kabisa ee?

Tamisemi niliwakubali sana, kuna siku nilikua na shida(nilienda halmashauri wakawa wananiletea nyodo) nikatafta namba zao kwenye mtandao,

Ilipokelewa ndani ya mda, wakawapandia hewani kule halmashauri wenyewe na baadae Tamisemi wenyewe wakanipigia(hapa ndio niliwapendea) kua suala lako tumelimaliza, na kweli siku ngapi tuu nikaona matokeo,
Sasa sijui ilikuwa ni bahati yangu/au ni mtu niliyebahatika kuhudumiwa naye au niseme wanajitahidi.
 
Hello JF,
Samahani hivi hii namba ya ofisi ya Rais utumishi, unaweza piga muda wowote au ni muda wa kazi tu? Nimepiga sana haipokelewi.
Serikalini hakuna professionalism. Wale wadada wa front desk huwa wanachomoa ule waya wa kwenye simu ya mezani/landline wakienda kupiga story kwenye ofisi za mashoga zao. Nilishuhudia hii wizara moja kabla ya kuhamia Dodoma.
 
Hiyo ndiyo kawaida ya ofisi za Serikali zetu. Labda ingekuwa na country code ya wajomba zetu.
Alafu niliendaga interview utumishi wakawa wanajimwambafy eti kufanya kazi serikalini kunataka watu cream hahahaaaa
 
Hivi utumishi na tamisemi ni tofauti kabisaa ee?

Tamisemi niliwakubali sana, kuna siku nilikua na shida(nilienda halmashauri wakawa wananiletea nyodo) nikatafta namba zao kwenye mtandao...
Wako vizuri sana wanajua kuhudumia Kwa wakati Mmoja alikosa jibu la kunipa aliniunganisha na mwingine muda huo huo nikajibuwa kwakweli Mungu awabariki
 
Hawa jamaa hata mimi nashindwaga kabisa kuwaelewa. Ukipiga simu mara 20, chance ya kupokelewa ni 1 au hakuna kabisa!

Sasa unashindwa kuelewa kwamba ni dharau kwa wananchi au wako wachache?

Nadhani ni kati ya vitu tulitakiwa kubinafsisha kwa DP World maana efficiency yake ni 0!
 
Hivi utumishi na tamisemi ni tofauti kabisaa ee?

Tamisemi niliwakubali sana, kuna siku nilikua na shida(nilienda halmashauri wakawa wananiletea nyodo) nikatafta namba zao kwenye mtandao...
Mkuu, kuna watumishi wa serikali honestly wapo vizuri sana, sema ndio hivyo ni wachache sana.
 
Hawapokeagi hao, sijui huwa wanaweka namba za nini

Taasisi zote za umma mpaka wizarani hawapokei simu

Kwa nchi za wenzetu wapo very active
 
Back
Top Bottom