Nimepigwa hard disk speed ni ndogo sana, tusiwe na haraka tuchukue muda kuzikagua kuepuka huu upigaji

Nimepigwa hard disk speed ni ndogo sana, tusiwe na haraka tuchukue muda kuzikagua kuepuka huu upigaji

Hiyo case ya usb2.0 iko slow sana na wakati mwingine kwenye pc nyingine itagoma kusoma, kanunue case ya 3.0
Sure hasa MacBook baadhi huwa hazisomi hii USB 2.0 zinasoma kuanzia USB 3.0 au unakuta port 1 inasoma 3.0 pekee afu ingine ndiyo inasoma zote ila 2.0 kwa shida sana..
 
Sidhani kama una data za msingi utaconcern sana bandwidth, mana speed ya internet inaweza kuwa shida yako binafsi na ISP pamoja na package unazotumia.
Nje ya miji network huwa ni chngamoto kupata hata 4g
Kun muda unternet inazimwa hii nchi yetu
Mafile kufutwa siokweli kwasabu unaweza kuincrypt.
huo muda wa kuanza ku encrypt na kudycrpt ni heri nihamishie fasta tu kwente disc
 
Back
Top Bottom