iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 4,412 Reaction score 8,198 Apr 7, 2024 #21 Mamaya said: Hiyo case ya usb2.0 iko slow sana na wakati mwingine kwenye pc nyingine itagoma kusoma, kanunue case ya 3.0 Click to expand... Sure hasa MacBook baadhi huwa hazisomi hii USB 2.0 zinasoma kuanzia USB 3.0 au unakuta port 1 inasoma 3.0 pekee afu ingine ndiyo inasoma zote ila 2.0 kwa shida sana..
Mamaya said: Hiyo case ya usb2.0 iko slow sana na wakati mwingine kwenye pc nyingine itagoma kusoma, kanunue case ya 3.0 Click to expand... Sure hasa MacBook baadhi huwa hazisomi hii USB 2.0 zinasoma kuanzia USB 3.0 au unakuta port 1 inasoma 3.0 pekee afu ingine ndiyo inasoma zote ila 2.0 kwa shida sana..
G G Tank JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 2,297 Reaction score 8,760 Apr 7, 2024 Thread starter #22 snipa said: Sidhani kama una data za msingi utaconcern sana bandwidth, mana speed ya internet inaweza kuwa shida yako binafsi na ISP pamoja na package unazotumia. Click to expand... Nje ya miji network huwa ni chngamoto kupata hata 4g Kun muda unternet inazimwa hii nchi yetu snipa said: Mafile kufutwa siokweli kwasabu unaweza kuincrypt. Click to expand... huo muda wa kuanza ku encrypt na kudycrpt ni heri nihamishie fasta tu kwente disc
snipa said: Sidhani kama una data za msingi utaconcern sana bandwidth, mana speed ya internet inaweza kuwa shida yako binafsi na ISP pamoja na package unazotumia. Click to expand... Nje ya miji network huwa ni chngamoto kupata hata 4g Kun muda unternet inazimwa hii nchi yetu snipa said: Mafile kufutwa siokweli kwasabu unaweza kuincrypt. Click to expand... huo muda wa kuanza ku encrypt na kudycrpt ni heri nihamishie fasta tu kwente disc