Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweri afanunue kidogo hapo Ili tujue tunaanza vipi kumshauli mana wapo wanaopiga mabao na makofiUmepigwa MABAO au MAKOFI??
Umepigwa kibao au bao, kapiga vingapi huyo ginWakuu yamenikuta huku,
Leo usiku mida ya saa 8 nilipigwa vibao na mtu nisiyemuona yaani haonekani kabisa, nadhani ni jini lile.
Naombeni msaada je nifanye nini kujiokoa na dhahama hili wakuu?