Nimepigwa kibao na jini

Nimepigwa kibao na jini

Umepigwa bao leo,tunasubiria mrejesho after 9 months.
 
Wakuu yamenikuta huku,

Leo usiku mida ya saa 8 nilipigwa vibao na mtu nisiyemuona yaani haonekani kabisa, nadhani ni jini lile.

Naombeni msaada je nifanye nini kujiokoa na dhahama hili wakuu?
Umepigwa kibao au bao, kapiga vingapi huyo gin
 
Back
Top Bottom