Nimepigwa na kufungiwa ndani ya nyumba na mke wangu

Nimepigwa na kufungiwa ndani ya nyumba na mke wangu

Bora umewasemea...mbona huwa wanapigwa sana na wake zao na kusema hawasemi
 
Wakuu samahanini kwa mada zangu za kuhusu mapenzi aisee ila kusema za ukweli mapenzi yananiumiza sana hivi wanaume wenzangu mnafanyeje ili kukabiliana na hali hii?

Sasa leo wakuu nimepigwa na kufungiwa ndani na mke wangu aisee, kisa cha kunipiga ni kumuuliza kwanini unachelewa kuamka na kwanini hautaki kwenda kunifulia nguo zangu, ikawa kosa.

Akarusha ngumi na kunipiga kofi na kunizabua vibao nusu nizimie aisee, baada ya hapo akanifungia ndani na kuondoka na kwenda kwa ndugu zake huko kusikojulikana.

Kanda ya ziwa aisee[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
unasema kweli au unachangamsha baraza?
 
Jamii forum ya mama yako?
images (85).jpeg
 
Muda wa kutunga hizi story huwa mnatoa wapi?
 
Back
Top Bottom