Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Wakuu hii ndoa inaenda kunichosha aisee yaani mimi kila siku nikupigwa na kusemwa na mke wangu halafu ukizingatia mie ndiye natoa matumizi ya kila siku yeye mke wangu ni mama wa nyumbani yaani goal keeper tu halafu ananiletea kiburi na ujeuri kisa yeye ni mzuri na mweupe tii eti hiki ndiyo anachojivunia aisee hawa wanyantuzu bwana aisee ni shida
Sasa wakati natoka ndani kwa maana chumbani nimesikia anaongea na mwanaume kwa kisukuma kwamba njoo nkoi kwamba mwanaume ameondoka njoo nipe raha bwana huyu mjinga ameondoka aisee moyo ulipiga paah nusu nizimie ila nikasema sio kesi ngoja nikalale sasa wakati nipo chumbani nikamuone mke Wangu anatoka nje anakumbatia na mwanaume yupo na gari nyeusi aina ya harrier wakuu ninalia mpaka watoto wameamuka na wananiuliza kwanini baba mie nabaki kulia tu wakuu
Wakuu naombeni ushauri nifanyeje 😭😭😭😭