Nimepigwa na makofi na mke wangu na kufukuzwa chumbani ameniambia nikalale chumbani kwa watoto ili aje mchepuko wake

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Wakuu hii ndoa inaenda kunichosha aisee yaani mimi kila siku nikupigwa na kusemwa na mke wangu halafu ukizingatia mie ndiye natoa matumizi ya kila siku yeye mke wangu ni mama wa nyumbani yaani goal keeper tu halafu ananiletea kiburi na ujeuri kisa yeye ni mzuri na mweupe tii eti hiki ndiyo anachojivunia aisee hawa wanyantuzu bwana aisee ni shida

Sasa wakati natoka ndani kwa maana chumbani nimesikia anaongea na mwanaume kwa kisukuma kwamba njoo nkoi kwamba mwanaume ameondoka njoo nipe raha bwana huyu mjinga ameondoka aisee moyo ulipiga paah nusu nizimie ila nikasema sio kesi ngoja nikalale sasa wakati nipo chumbani nikamuone mke Wangu anatoka nje anakumbatia na mwanaume yupo na gari nyeusi aina ya harrier wakuu ninalia mpaka watoto wameamuka na wananiuliza kwanini baba mie nabaki kulia tu wakuu

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje 😭😭😭😭
 
Wewe jiue tu...Jinyonge au kunywa sumuhuna faida yoyote hapa duniani
 
Bora umehisema kuwa unapigwa na kuchapiwa mbele yako
Ushauri ondoka hapo kabla mechi haijageuka
Asilimia chache za akili zilizobaki bora urudi kwa baba yako
 
Mmh
 
Attachments

  • JamiiForums2144198311.gif
    JamiiForums2144198311.gif
    976.3 KB · Views: 5
Back
Top Bottom