Makasiriko kwa ID fake? Serious? Basi wewe ni mgonjwa wa akili tena schizophrenia kabisa wewe! Mkasirikie Baba yako ambae amekuzaa wakati yeye ni masikiniWatu mnasema tuache makasiliko sawa kwa hali kama hii makasiliko tunayaacha vipi!!
ficha ujinga wako ili wengi wasijue kwamba wewe ni mjinga
Makasiriko mkasirikie Baba yako unanikasirikia Mimi mie ndiyo chanzo umasikini wako?Huna akili kabisa! Hamjafungua tu shule nyie mazuzu mnaotarajia ku-graduate kwa rushwa?!
JoblessChai za kipumbavu hizi.
KambaWakuu hii ndoa inaenda kunichosha aisee yaani mimi kila siku nikupigwa na kusemwa na mke wangu halafu ukizingatia mie ndiye natoa matumizi ya kila siku yeye mke wangu ni mama wa nyumbani yaani goal keeper tu halafu ananiletea kiburi na ujeuri kisa yeye ni mzuri na mweupe tii eti hiki ndiyo anachojivunia aisee hawa wanyantuzu bwana aisee ni shida
Sasa wakati natoka ndani kwa maana chumbani nimesikia anaongea na mwanaume kwa kisukuma kwamba njoo nkoi kwamba mwanaume ameondoka njoo nipe raha bwana huyu mjinga ameondoka aisee moyo ulipiga paah nusu nizimie ila nikasema sio kesi ngoja nikalale sasa wakati nipo chumbani nikamuone mke Wangu anatoka nje anakumbatia na mwanaume yupo na gari nyeusi aina ya harrier wakuu ninalia mpaka watoto wameamuka na wananiuliza kwanini baba mie nabaki kulia tu wakuu
Wakuu naombeni ushauri nifanyeje ππππ
Mmh!!!mkuu pole sana Cha msingi chakua maamuzi kama mwanaume huyo mwanamke anakuonyshea dharau ya Hali ya juu mno. Haiwezekana huyo mwanaume wake aje mpka kwako na wewe upo hiyo n dharau mno kashndwa kukupa heshima kama mume ....nadhani mueleze kwanza kabla ya kuachana naye.Wakuu hii ndoa inaenda kunichosha aisee yaani mimi kila siku nikupigwa na kusemwa na mke wangu halafu ukizingatia mie ndiye natoa matumizi ya kila siku yeye mke wangu ni mama wa nyumbani yaani goal keeper tu halafu ananiletea kiburi na ujeuri kisa yeye ni mzuri na mweupe tii eti hiki ndiyo anachojivunia aisee hawa wanyantuzu bwana aisee ni shida
Sasa wakati natoka ndani kwa maana chumbani nimesikia anaongea na mwanaume kwa kisukuma kwamba njoo nkoi kwamba mwanaume ameondoka njoo nipe raha bwana huyu mjinga ameondoka aisee moyo ulipiga paah nusu nizimie ila nikasema sio kesi ngoja nikalale sasa wakati nipo chumbani nikamuone mke Wangu anatoka nje anakumbatia na mwanaume yupo na gari nyeusi aina ya harrier wakuu ninalia mpaka watoto wameamuka na wananiuliza kwanini baba mie nabaki kulia tu wakuu
Wakuu naombeni ushauri nifanyeje ππππ
Sukari mmewekaje kiasi hiki kwenye chaiWakuu hii ndoa inaenda kunichosha aisee yaani mimi kila siku nikupigwa na kusemwa na mke wangu halafu ukizingatia mie ndiye natoa matumizi ya kila siku yeye mke wangu ni mama wa nyumbani yaani goal keeper tu halafu ananiletea kiburi na ujeuri kisa yeye ni mzuri na mweupe tii eti hiki ndiyo anachojivunia aisee hawa wanyantuzu bwana aisee ni shida
Sasa wakati natoka ndani kwa maana chumbani nimesikia anaongea na mwanaume kwa kisukuma kwamba njoo nkoi kwamba mwanaume ameondoka njoo nipe raha bwana huyu mjinga ameondoka aisee moyo ulipiga paah nusu nizimie ila nikasema sio kesi ngoja nikalale sasa wakati nipo chumbani nikamuone mke Wangu anatoka nje anakumbatia na mwanaume yupo na gari nyeusi aina ya harrier wakuu ninalia mpaka watoto wameamuka na wananiuliza kwanini baba mie nabaki kulia tu wakuu
Wakuu naombeni ushauri nifanyeje ππππ
Umeona kumbe mkuuu daaahKamba
Amuelezee nn uyo mwanamke atokeMmh!!!mkuu pole sana Cha msingi chakua maamuzi kama mwanaume huyo mwanamke anakuonyshea dharau ya Hali ya juu mno. Haiwezekana huyo mwanaume wake aje mpka kwako na wewe upo hiyo n dharau mno kashndwa kukupa heshima kama mume ....nadhani mueleze kwanza kabla ya kuachana naye.
Huu sio ushauri kabisaaa yaanWewe jiue tu...Jinyonge au kunywa sumuhuna faida yoyote hapa duniani