Nimepigwa na makofi na mke wangu na kufukuzwa chumbani ameniambia nikalale chumbani kwa watoto ili aje mchepuko wake

Dah naona watu wanakusakama lakini ungeniomba ushauri tumekaa jilani face to face ningehakikisha nakutoa jino angalauo Moja au nikukate hata kidole tu ili utie adabu
 
Watu mnasema tuache makasiliko sawa kwa hali kama hii makasiliko tunayaacha vipi!!

ficha ujinga wako ili wengi wasijue kwamba wewe ni mjinga
 
downloadfile.gif
 
Watu mnasema tuache makasiliko sawa kwa hali kama hii makasiliko tunayaacha vipi!!

ficha ujinga wako ili wengi wasijue kwamba wewe ni mjinga
Makasiriko kwa ID fake? Serious? Basi wewe ni mgonjwa wa akili tena schizophrenia kabisa wewe! Mkasirikie Baba yako ambae amekuzaa wakati yeye ni masikini
 
Huna akili kabisa! Hamjafungua tu shule nyie mazuzu mnaotarajia ku-graduate kwa rushwa?!
 
Kichwa cha Hari tu kimetosha kuona kuwa wewe unataka tu comments za matusi
 
Wakuu hii ndoa inaenda kunichosha aisee yaani mimi kila siku nikupigwa na kusemwa na mke wangu halafu ukizingatia mie ndiye natoa matumizi ya kila siku yeye mke wangu ni mama wa nyumbani yaani goal keeper tu halafu ananiletea kiburi na ujeuri kisa yeye ni mzuri na mweupe tii eti hiki ndiyo anachojivunia aisee hawa wanyantuzu bwana aisee ni shida

Sasa wakati natoka ndani kwa maana chumbani nimesikia anaongea na mwanaume kwa kisukuma kwamba njoo nkoi kwamba mwanaume ameondoka njoo nipe raha bwana huyu mjinga ameondoka aisee moyo ulipiga paah nusu nizimie ila nikasema sio kesi ngoja nikalale sasa wakati nipo chumbani nikamuone mke Wangu anatoka nje anakumbatia na mwanaume yupo na gari nyeusi aina ya harrier wakuu ninalia mpaka watoto wameamuka na wananiuliza kwanini baba mie nabaki kulia tu wakuu

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje 😭😭😭😭
Kamba
 
Mmh!!!mkuu pole sana Cha msingi chakua maamuzi kama mwanaume huyo mwanamke anakuonyshea dharau ya Hali ya juu mno. Haiwezekana huyo mwanaume wake aje mpka kwako na wewe upo hiyo n dharau mno kashndwa kukupa heshima kama mume ....nadhani mueleze kwanza kabla ya kuachana naye.
 
Sukari mmewekaje kiasi hiki kwenye chai
 
Mmh!!!mkuu pole sana Cha msingi chakua maamuzi kama mwanaume huyo mwanamke anakuonyshea dharau ya Hali ya juu mno. Haiwezekana huyo mwanaume wake aje mpka kwako na wewe upo hiyo n dharau mno kashndwa kukupa heshima kama mume ....nadhani mueleze kwanza kabla ya kuachana naye.
Amuelezee nn uyo mwanamke atoke
Anyway swali Kw mtoa mada,

Nyumba ya nani iyoo?
 
We bwege bado hujapigwa Uko pig wa utasema tu hapa kuna kitu umekuja kupima!
 
Back
Top Bottom