Nimepigwa na mume

ni approach gani inayotumia ambayo inakiuka misingi ya ndoa? na hiyo misingi ya sheria za dini au jmt/nch? Nieleweshe mkuu

Msingi mkuu wa ndoa ni COMPROMISE. Ni lazima kwa wakati fulani wanandoa wakubali kumpromise misimamo yao kwasababu there is always a difference btn you no matter what. Approach yako ya lazima ushauri wako ukubaliwe ni dhahiri haupo tayari ku compromise. Pili, hatua unayosuggest kama mbadala ndio hiyo approach ninayoisema ni mbovu. Kila siku mtakuwa ni watu wa kilipiziana.
 
una mawazo mazuri ya kidume nadhani we ni(me),kwa hiyo sometimes mwanaume akija na mawazo ambayo ni less productive kwa familia yetu nikubaliane nayo?
 
una mawazo mazuri ya kidume nadhani we ni(me),kwa hiyo sometimes mwanaume akija na mawazo ambayo ni less productive kwa familia yetu nikubaliane nayo?
Shida inaanzia hapo ambapo wewe kwa tathmini yako unayaona mawazo ya mwenzio ni less productive na mwenzio haoni hivyo, in fact anaona ni productive. Bila mmoja wenu ku-compromise you won't make it, sana sana mnaibomoa familia.
 
.kwa mwanaume ni bora udharauriwe na mtoto wa miaka 15 wa kiume kuliko kudharauriwa na mwanamke.

We ni wa kudharaulika. Yote alivyosema Dr. Wansegamila yanakuhusu. Tunaomba usizae kizazi cha ujinga kiishie kwako. ..

 
Last edited by a moderator:
achana na sheria we mvizie usiku kalala mwamshe ile akiitikia tu mdunde na marungu maeneo atakayo umia kirahisi .. ila mlango uwe wazi ukimbie asikukamate .. ila ujiandae kuachika

Tunahitaji wanawake zaidi kama wewe.

The number of foolish women is too damn high. Kila kitu kuinamisha kichwa.

Ukinipiga utapigwa tu. Najua nitaishia ICU lakini na wewe utaishia kwa babu seya.
 

una mawazo mazuri ya kidume nadhani we ni(me),kwa hiyo sometimes mwanaume akija na mawazo ambayo ni less productive kwa familia yetu nikubaliane nayo?

Mimi leirilwa nakuelewa sana kwa sababu nilitoka kwenye Familia yenye domestic violence.

Mwanaume toka mwanzo ukishamzoesha kila kitu kiende anavyotaka yeye, unajenga tabia mbaya sana. Atataka wewe ndo uwe unaLet go kila siku. I'm very sure this is your case.

mwanaume kazoeshwa kuwa mwanamke ni mtoto kila kitu aambiwe. Kazoeshwa kuwa yeye ndo muongeaji wa mwisho. You're not a team. . ikifika siku ukabisha kidogo tu hachelewi kukupiga.
 
Last edited by a moderator:
Pole wewe. Usubiri uzae mabinti zako ndo wakapigwe huko . Mabinti zetu tukisikia wamepigwa sababu tutaijulia polisi, mwanaume akiwa na majeraha ya kutosha.
mna jeuri sana ndo maana mnatiwa vitasa na waume zenu,poza maumivu
 

Kwanini baba mkwe atelekezwe?

Mimi nilipokuja kujua mama anaishi na mwaume mkatili nlikuwa namuuliza why??? Kwanini usiondoke? Na sio kwamba alikuwa anatuambia. Anajitahidi kuficha lakini watoto wanajua tu. angeondoka baba angepata shida sana, I dare say angekufa.
Labda mama mkwe wako hakutaka ujinga kama mama yangu. Labda watoto wake hawakufundishwa kumdharau baba ila ilikuwa consequence ya matendo ya baba.

We kama ni wa kudharaulika utadharaulika tu. Kumpiga mwenzako ni sign ya inferiority complex.
 
mna jeuri sana ndo maana mnatiwa vitasa na waume zenu,poza maumivu

Dokta amekuAsses hapa

 
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃🚶🚶🚶🚶🚶🚶
 
Tunahitaji wanawake zaidi kama wewe.

The number of foolish women is too damn high. Kila kitu kuinamisha kichwa.

Ukinipiga utapigwa tu. Najua nitaishia ICU lakini na wewe utaishia kwa babu seya.
ndiyo maana yake .. wanawake wengi wanategeshaga tu wanapigwa .. mimi lazima nikuvizie nikulipize tu
 
Ndio hivyo labda umejiandaa kuachana nae dadangu vinginevyo vumilianeni ndio maisha ya ndoa

Yaani munamshauri avumilie kipigo ndiyo maisha ya ndoa? Ndiyo yale yaliyomo kwenye lile tangazo la kitchen party fulani ... 'mume akikupiga vumilia mwanangu ndiyo maisha......'

Akimuharibu reception kesho anakwenda kutafuta mwanamke mwengine mzuri, yeye amebaki na ulemavu wa maisha.
 
Nadhani kuna dawati la jinsia kwenye vituo vya polisi... Nenda kapate msaada... Duh huyo mume atakuwa kakuchoka. Kwa nini amekupa kibano chote hicho?
 
kwahiyo unamaanisha kwa sababu naishi naye kimapenzi ndo nikubali unyanyasaji anaonifanyia?

Samahani lakini mapenzi na kipigo huwa haviendani. Inaonyesha siyo mara ya kwanza kukupa kipigo hicho.

Ikiwa umeamua wewe vumilia tu kwa ajili ya watoto wako, ukishakuwa kibogoyo atatafuta small house nzuri na yanki aendelee na maisha.
 
Pole wewe. Usubiri uzae mabinti zako ndo wakapigwe huko . Mabinti zetu tukisikia wamepigwa sababu tutaijulia polisi, mwanaume akiwa na majeraha ya kutosha.

Housegirl, wewe na Misschagga nawaaminia.

Mwanaume anaejihisi ana nguvu nyingi akaingie ulingoni apigane na wanaume wenziwe siyo mkewe.
Hakuna sababu hata moja ya kumfanya mwanaume ampige mkewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…