Nimepigwa na mume

Nimepigwa na mume

Nadhani kuna dawati la jinsia kwenye vituo vya polisi... Nenda kapate msaada... Duh huyo mume atakuwa kakuchoka. Kwa nini amekupa kibano chote hicho?
sasa kama muda umeshapita toka siku ya kipigo ntasikilizwa? Maana nilikuwa cjui naanzia wapi?
 
Back
Top Bottom