- Thread starter
- #141
sasa kama muda umeshapita toka siku ya kipigo ntasikilizwa? Maana nilikuwa cjui naanzia wapi?Nadhani kuna dawati la jinsia kwenye vituo vya polisi... Nenda kapate msaada... Duh huyo mume atakuwa kakuchoka. Kwa nini amekupa kibano chote hicho?