Nimepima Ngoma, sijakutwa na maambukizi yoyote

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Katika harakati za ujana nimejikuta nachapa sana papuchi.. ila juzi kati katika kushirikisha halmashauri ya kichwa changu nikajisemea ngoja nipime ngoma nikikuta niko poa basi naanza kujitunza. Nimepima na nimekutwa niko fresh kabisa..

Ebana kuna feelings flani za huzuni na hofu unakua unazipitia pale unapokuwa unasubiri majibu ya ngoma, kuna muda nilitaka hadi kukimbia haya majibu asee.

So nimeamua kutulia kuanzia sasa wakuu.
 

Attachments

  • 20241015_120139.jpg
    421.9 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…