Nimepima Ngoma, sijakutwa na maambukizi yoyote

Nimepima Ngoma, sijakutwa na maambukizi yoyote

Katika harakati za ujana nimejikuta nachapa sana papuchi..ila juzi kati katika kushirikisha halmashauri ya kichwa changu nikajisemea ngoja nipime ngoma nikikuta niko poa basi naanza kujitunza.
Nimepima na nimekutwa niko fresh kabisa..
Ebana kuna feelings flani za huzuni na hofu unakua unazipitia pale unapokua unasubiri majibu ya ngoma,kuna muda nilitaka hadi kukimbia haya majibu asee.
So nimeamua kutulia kuanzia sasa wakuu.
Subiri miezi mitatu kisha kapime tena halafu kaa tena baada ya mitatu kapime tena ukikuta upo negative baada ya hapo ndo uchoree mstari sasa.
 
Hizi story za Ukimwi sio tishio sijui mnazitoa wapi.
Matumizi ya ARVs yanaweza pelekea kufeli kwa Figo, Ini n.k msifanye mchezo na Ukimwi jamani msipotoshe watu

Mara ya mwisho umepima lini ukimwi?
 
Unaweza kujitunza halafu mwenzi wako akakuletea. Tukatae tu ndoa. 😂
 
Katika harakati za ujana nimejikuta nachapa sana papuchi.. ila juzi kati katika kushirikisha halmashauri ya kichwa changu nikajisemea ngoja nipime ngoma nikikuta niko poa basi naanza kujitunza. Nimepima na nimekutwa niko fresh kabisa..

Ebana kuna feelings flani za huzuni na hofu unakua unazipitia pale unapokuwa unasubiri majibu ya ngoma, kuna muda nilitaka hadi kukimbia haya majibu asee.

So nimeamua kutulia kuanzia sasa wakuu.
Jitahidi urudie tena na tena kupima hadi ukutwe na mambukizi ili uanze dawa.
 
Hizi story za Ukimwi sio tishio sijui mnazitoa wapi.
Matumizi ya ARVs yanaweza pelekea kufeli kwa Figo, Ini n.k msifanye mchezo na Ukimwi jamani msipotoshe watu
Kwa hiyo hapo hatari inakuwa ni dawa au UKIMWI? 😂😂
 
Nachukia mtu anapima ngoma af anajisifia yupo gud af anakubali kujiachia bila kujua kuna magonjwa zinaa ambayo hayaonekan kwenye HIV TEST , NASHAURI MUWE MNAPIMA MAGONJWA YOTE YA ZINAA
 
Kuna demu kanitonya kuna siku "ile" yeye alichubuka na wewe ukachubuka, umepima vizuri kweli? Rudia baada ya miezi 3.
 
Back
Top Bottom