Nimepima Ngoma, sijakutwa na maambukizi yoyote

Nimepima Ngoma, sijakutwa na maambukizi yoyote

Katika harakati za ujana nimejikuta nachapa sana papuchi..ila juzi kati katika kushirikisha halmashauri ya kichwa changu nikajisemea ngoja nipime ngoma nikikuta niko poa basi naanza kujitunza.
Nimepima na nimekutwa niko fresh kabisa..
Ebana kuna feelings flani za huzuni na hofu unakua unazipitia pale unapokua unasubiri majibu ya ngoma,kuna muda nilitaka hadi kukimbia haya majibu asee.
So nimeamua kutulia kuanzia sasa wakuu.
Kwa hiyo?
 
siku hizi ukimwi sio tishio sana, watu wanaishi nao na wengne ukiwaona wamenenepa kama kuku wa kizungu
yapo magonjwa ya kuogopa kama homa ya ini, kansa ya mifupa, kansa ya damu, ebola, kisukari, shinikizo la damu
Hizi story za Ukimwi sio tishio sijui mnazitoa wapi.
Matumizi ya ARVs yanaweza pelekea kufeli kwa Figo, Ini n.k msifanye mchezo na Ukimwi jamani msipotoshe watu
 
Back
Top Bottom