Nimepima Ngoma, sijakutwa na maambukizi yoyote

Kwa hiyo?
 
siku hizi ukimwi sio tishio sana, watu wanaishi nao na wengne ukiwaona wamenenepa kama kuku wa kizungu
yapo magonjwa ya kuogopa kama homa ya ini, kansa ya mifupa, kansa ya damu, ebola, kisukari, shinikizo la damu
Hizi story za Ukimwi sio tishio sijui mnazitoa wapi.
Matumizi ya ARVs yanaweza pelekea kufeli kwa Figo, Ini n.k msifanye mchezo na Ukimwi jamani msipotoshe watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…