Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Leo Nimepishana na Nissan Leaf 2nd gen tatu, mitaa ya Mbezi Magufuli (Morogoro Rd).
Zote IT zinasafirishwa labda Malawi, Congo, Burundi nk ambako umbali ni zaidi ya 1000 km kutokea Dar.
Sasa hivi vidude battery ndogo 40 kWh, vina range ya 240 km, ikiwa mpya na zile Leaf Plus zina battery ya 62 kWh range yake 340 km ikiwa mpya.
Sasa kusafirisha kwa kuiendesha sijui watachaji mara ngapi, na pia kuchaji kwa Level II ni masaa 7 kuendelea ili kijae, kwa Level I charger ndio zaidi ya masaa 20.
Hivi wangevibeba kwenye flatbed ingekua wazo zuri na efficiency.