Nimepishana na Nissan Leaf zinasafirishwa kwenda nje (IT). Hawa jamaa watatoboa kweli ata Moro tu?

Nimepishana na Nissan Leaf zinasafirishwa kwenda nje (IT). Hawa jamaa watatoboa kweli ata Moro tu?

Huenda walishapanga vituo vya kuchaji kwa kutumia fast charging kupitia umeme wa kawaida
Fast Charging ni DC, kwa uelewa wangu Tanzania nzima hamna kituo ata kimoja cha Fast Charging. Ila yote kheri naamini wamepanga solution kama ulivyosema. Ila kilometa 200 risk unaweza usitoboe Moro ukiendesha vibaya + AC
 
Juzi nimeona Dodoma kimezinduliwa kituo cha kuchajia magari ya Umeme sikufatilia sana.
 
Leo Nimepishana na Nissan Leaf 2nd gen tatu, mitaa ya Mbezi Magufuli (Morogoro Rd).
View attachment 3607507
Zote IT zinasafirishwa labda Malawi, Congo, Burundi nk ambako umbali ni zaidi ya 1000 km kutokea Dar.
View attachment 3607510
Sasa hivi vidude battery ndogo 40 kWh, vina range ya 240 km, ikiwa mpya na zile Leaf Plus zina battery ya 62 kWh range yake 340 km ikiwa mpya.
View attachment 3607509
Sasa kusafirisha kwa kuiendesha sijui watachaji mara ngapi, na pia kuchaji kwa Level II ni masaa 7 kuendelea ili kijae, kwa Level I charger ndio zaidi ya masaa 20.

Hivi wangevibeba kwenye flatbed ingekua wazo zuri na efficiency.
Mkuu hizi sio Hybrids kweli?
 
Fast Charging ni DC, kwa uelewa wangu Tanzania nzima hamna kituo ata kimoja cha Fast Charging. Ila yote kheri naamini wamepanga solution kama ulivyosema. Ila kilometa 200 risk unaweza usitoboe Moro ukiendesha vibaya + AC
Ni kweli vituo ni vichache ila mpaka kufikia stage y kuzi safirisha lazima wamejipanga ten kisasa zaidi namna ya kuzichaji kw fast ili kwenda n mdaa
 
January 2026
DODOMA HADI KAMPALA
EPISODE 1

View: https://m.youtube.com/watch?v=H61NA_mun1U
Saa 48 kwenye Basi la Umeme Lililotengenezwa Uganda! Safari ya Barabara Kuu ya Tanzania Hadi Uganda. Basi hili linaitwa Kayoola 13M E-coach 2025 ambalo limetengenezwa Uganda nzima na kwa kweli lilisafiri hadi Capetown kwa zaidi ya kilomita 13000 na sasa lilikuwa linarudi nyumbani Uganda. Katika safari hii, nilijiunga na basi hili Dodoma Tanzania na kusafiri hadi Mtukula mpakani mwa Uganda, hii ni sehemu ya 1 kutoka Dodoma hadi Kahama na sehemu ya 2 Kahama hadi Mutukula.
EPISODE 2

View: https://m.youtube.com/watch?v=p9TW_ZwQaeE

Source : Explore with Bertine
 
Back
Top Bottom