Nimepita Leaders club, hivi Makonda kamshauri Rais pajengwe kitu gani?

Unasema hujui inajengwa nini na umeshaanza kutukana sasa si usubiri uone kwanza kinachojengwa

au ndo zile akili za kuamini Heche akubadilishie maisha yako wakati kashindwa kubadili maisha ya dereva wake , yeye kalala Hotel ya nyota 5 dereva kalala kwenye dangulo la elfu 6
 
ndio maana mkamuua kisa kalala kwa elf6. Heche hatakufa kizembe kama mlivyomuua chacha wangwe. Yaani majibu yenu yenyewe yanathihirisha ujinga mtupu. Ni swala la mda tu.
 
Hii nchi ni una mataila,

Nimepita Leaders club, nmekuta kinachojengwa ni ushuzi mtupu, nauliza naambiwa ni maandalizi ya Afcon real?

Rais kashauliwa na kashaulika real?
Makonda Makonda kumanyokooo
Hao ndio ccm hawanaga akili kabisa wanafanya mambo kitoto sana.
 
Unasema hujui inajengwa nini na umeshaanza kutukana sasa si usubiri uone kwanza kinachojengwa

au ndo zile akili za kuamini Heche akubadilishie maisha yako wakati kashindwa kubadili maisha ya dereva wake , yeye kalala Hotel ya nyota 5 dereva kalala kwenye dangulo la elfu 6
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hali ya nani!!
 
Hii nchi ni una mataila,

Nimepita Leaders club, nmekuta kinachojengwa ni ushuzi mtupu, nauliza naambiwa ni maandalizi ya Afcon real?

Rais kashauliwa na kashaulika real?
Makonda Makonda kumanyokooo
Hebu fafanua vizuri kwanini ni ushuzi?
 
muslims wa tanzagiza sijui huwa nini kinawawasha wakiona eneo liko wazi, popote penye open space ni lzm watachukuwa wajenge, coco beach wameitamani miaka yote sema raisi akiwa Christian anazuia.

raisi mwinyi ndiye aliyekuwa wa kwanza kupora beach na kugawa kujenga kinyume cha sheria ya mita 150 ktk majini, sasa fukwe zote wamejenga, maeneo ya watoto kucheza yote wamegawa na kujenga, mji una watu zaidi milioni 4 lkn hakuna open space, hata viwanja vya sabasaba tayari muslims wanabivizia wajenge.

sijui huwa wana allergie na maeneo ya wazi kwamba likiwepo wanawashwa au nini? kule zanzibar wameuza beach fronts zote kwisha …
 
Back
Top Bottom