Nimepita Mwananyamala, malaya wanatia huruma na nimelia machozi. Wanaume tuanzishe harambee

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani desperately. Wengine hawajala na hawajui watakula nini.

Wanaume wa JF tuji organize tuanzishe mfuko wa kuwasaidia wanawake, tupate japo 1B TZS tuzi distribute kwa wanawake wote wanaoishi mazingira magumu.

Tuwa mobilize hata diaspora tuchange hela.

Inauma mno mwanamke kulala njaa. Nimeumia mno... macho yote yamekuwa mekundu kwa uchungu wa kulia na sononeko. Nimelia kiume!

Tuanzishe harambee humu JF.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani. Wengine hawajala na hawajui wataka nini.

Wanaume wa JF tuji organize tuanzishe mfuko wa kuwasaidia wanawake, tupate japo 1B TZS tuzi distribute kwa wanawake wote wanaoishi mazingira magumu.

Inauma mno mwanamke kulala njaa. Nimeumia mno... macho yote yamekuwa mekundu kwa uchungu wa kulia na sononeko. Nimelia kiume!

Tuanzishe harambee humu JF.
Tuwasaidie wanawake wenye mazingira magumu au wale uliowaandika kwenye headline yako....
 
Kuna maelfu ya watoto yatima wanaozurua mitaani kutafuta chakula muda ambao walipaswa kuwa shule na wengine wanalala nje. Lakini unafikiria kutoa billion 1 kuwapa malaya watu wazima ambao hawatoacha kuwa malaya sababu ya tabia na uvivu wao. Au unadhani malaya hawapati pesa ya kutosha kuwa mtaji? Je umeona wanaacha kuwa malaya?

Hio billion ni bora itupwe baharani kuliko kuwapa malaya. Mawazo mgando.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani desperately. Wengine hawajala na hawajui watakula nini.

Wanaume wa JF tuji organize tuanzishe mfuko wa kuwasaidia wanawake, tupate japo 1B TZS tuzi distribute kwa wanawake wote wanaoishi mazingira magumu.

Tuwa mobilize hata diaspora tuchange hela.

Inauma mno mwanamke kulala njaa. Nimeumia mno... macho yote yamekuwa mekundu kwa uchungu wa kulia na sononeko. Nimelia kiume!

Tuanzishe harambee humu JF.
Eti mama anaupiga mwingi na uchumi umeimarika!
 
Enzi hizo nipo chalii naishi kwa bro Tandika,Siku moja napita mitaa yao pale kimicho bar tandika sokoni,nilikuwa navutwa sana mikono huku nabembelezea "white njoo ut*mbe 'k' yangu tamu hatari." Nikawa nawapita bila kuwasemesha.

Walipojua kwamba ile ndiyo njia yangu ya kwenda job kwa bro wakawa wakiniona wananipotezea wanajua mzee baba haji kula mzigo ila anafanya utalii tu wa kusafisha macho kwenye hii mitaa.

Mleta mada unaonekana hujui chochote kuhusu hao watu. Kama umeona wamelala wanatia huruma basi umekosea Sana. Wenzio ndiyo mida yao ya kupumzika hiyo maana kuanzia jioni saa 12 hizo pilikapilika zake siyo za mchezo na ukienda hapo una hell pungugu wanakukatalia na ukichelewa kumwaga pia wanakutoa maana wanasema wateja wapo wengi alafu wewe unataka kuto*ba Kama upo kwa mkeo. Naongea kwa uzoefu maana nimekaa tandika miaka mingi Sana ila sijawahi kuingia kwenye hivyo vyumba,wengi waliokuwa wanakuja pale Ni wa Mbagala na kigamboni.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani desperately. Wengine hawajala na hawajui watakula nini.

Wanaume wa JF tuji organize tuanzishe mfuko wa kuwasaidia wanawake, tupate japo 1B TZS tuzi distribute kwa wanawake wote wanaoishi mazingira magumu.

Tuwa mobilize hata diaspora tuchange hela.

Inauma mno mwanamke kulala njaa. Nimeumia mno... macho yote yamekuwa mekundu kwa uchungu wa kulia na sononeko. Nimelia kiume!

Tuanzishe harambee humu JF.
Imenigusa hii[emoji25]
 
Back
Top Bottom