mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani desperately. Wengine hawajala na hawajui watakula nini.
Wanaume wa JF tuji organize tuanzishe mfuko wa kuwasaidia wanawake, tupate japo 1B TZS tuzi distribute kwa wanawake wote wanaoishi mazingira magumu.
Tuwa mobilize hata diaspora tuchange hela.
Inauma mno mwanamke kulala njaa. Nimeumia mno... macho yote yamekuwa mekundu kwa uchungu wa kulia na sononeko. Nimelia kiume!
Tuanzishe harambee humu JF.